Ninakerwa na WANAOUTAFAFUTA URAIS sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninakerwa na WANAOUTAFAFUTA URAIS sasa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pilau, Oct 1, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wakuu JF, nisaidieni, ninakerwa sana na watu wanaotamka kugombea Urais wa 2015 hii inanikera kwa pande zote iwe upinzani na hata hao walioko madarakani, Kikatiba katika kila hali hakuna ubaya wa kutangaza nia ya jambo lolote au nia ya kitu chochote lakini busara inawekwa wapi katika jambo hili hasa ukizingatia muda muafaka bado? Tunawapa ushauri gani watu kama hawa?
   
Loading...