Ninajifunza java programming! je mliofanikiwa mlisomaje?

Ninajifunza java programming! je mliofanikiwa mlisomaje?

Vipi java fx je??
JavaFX ni framework inayotumika kutengeneza GUI kupitia Java. JavaFX inaiReplace Java SWING ambayo pia ilikuwa inatengeneza GUI.

Advantage za JavaFX ni kwamba inatumia CSS au XML kutengeneza Layout.
 
Nimesoma HTML na CSS saivi najifunza JavaScript je njia gani nzuri itanisaidia kimaster hii language pamoja na vitabu?
 
Kiukweli ni lugha ambayo niliitamani na pia naipenda sana!! nna hamu nifike mbali hasa katika software development za simu au komputa!! je mdau uliye soma java, ulisomaje ukai master? je nisome vipi ili niwe mzuri kwenye java?

Nijifunze nini cha ziada niweze kuwa compitent software(java) developer?
Kuna kitu unabidi uwe nacho kichwani

To be a programmer you don't have to know each and every thing used in a certain programming language

You just take time to correct errors
 
Nimesoma HTML na CSS saivi najifunza JavaScript je njia gani nzuri itanisaidia kimaster hii language pamoja na vitabu?
ushauri nnao weza kukupa ni kwamba, kama hujaanza JS basi acha kwanza kuisoma, then u practize css na html mpaka zika kichwani sawia! au kama umeanza JS basi endelea nayo lakini pia usiache kuzifanyia mazoezi html na css!!

kila la kheri
 
Kuna kitu unabidi uwe nacho kichwani

To be a programmer you don't have to know each and every thing used in a certain programming language

You just take time to correct errors
How can you correct something you don't know?
 
Back
Top Bottom