Ninaishi na maumivu

Nashukuru sana, 😢😢 angemchukua hata akiwa tumboni.....miaka sita tu ya maisha yake, kaamua kutupa furaha ya muda mfupi na maumivu ya muda mrefu yasioisha.
 
So sad, Pole sana dada mambo ya Mungu mengi hatuyajui yote. Mungu akufariji katika mapito hayo ya kuondokewa na mtoto.
 
It's very painful
Pole sana
Fuatilia mafundisho ya mwakasege live yanayoendelea kupitia upendo tv au online
Mungu bado anakupenda
Zaburi 34:18- Bwana yu karibu na waliovunjika moyo, Huwaokoa waliopondeka roho.
 
Isaya 41:10-Usiogope, maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia; nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu.
 
Pole sana my dear, mimi hapa nilifiwa na mwanangu mikononi mwangu 2020… Ila Mungu aliyenipa ndiye aliyetwaa… Naona kama juzi tu… Najua bado una maumivu ila ruhusu moyo wako kukubali… Mwenyezi Mungu akufariji sana, kifo kisikie tu kwa jirani..

Wakati mwingine hatuna budi kukubali mapenzi ya Mungu..

Pole once again shostito…
 
It isn't easy to accept this hard situation... pole sana Evelyn Salt
 
Ahsante, pole pia....pole sana bestie, apumzike kwa amani little Angel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…