Ninahitaji ufaulu gani kusoma sheria?

kacherema

Senior Member
Oct 3, 2017
106
225
Jamani mimi nimemaliza Form 4, nataka nichukue sheria ila nataka niende college.

Mnanisaidiaje jinsi ya kujinga na vyuo:
Daraja la ufaulu liwe vipi?
Na wanasajili lini?

NB: Hiyo ni kwa kila chuo mtakacho niambia kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Japo hujatuwekea mchanganuo wa masomo yako jinsi ulivyofaulu Unaweza anza na certificate mwaka mmoja kisha ukaendelea diploma muhimu uwe na pass kwenye English na history. Kama una credit(C) kwenye English na history inakuongezea nafasi zaidi.
 

MEGAMIND2055

Senior Member
Jan 7, 2020
176
225
Jamani mimi nimemaliza Form 4, nataka nichukue sheria ila nataka niende college.

Mnanisaidiaje jinsi ya kujinga na vyuo:
Daraja la ufaulu liwe vipi?
Na wanasajili lini?

NB: Hiyo ni kwa kila chuo mtakacho niambia kizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa form four sijui but kwa walio maliza form six qualification is 2 prncpo pass in any subject except religion subject
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom