Nimeona ombi lako la kupatiwa kiwanja ila naona halijitoshelezi kwa ajili ya kukosa yafuatayo...
Huo ukubwa uliotoa ni kwa kipimo gani? Meta au futi?
Mtu anaweza kukupa ramani kama umetoa clue unataka nyumba ya namna gani mf:
Nyumba ya bed room ngapi? Ziweje self moja au zote, unataka jiko na store ndani? Na vitu vingine unavyopenda vijumuishwe au visijumuishwe.
Pia ni vizuri kutaja mahali unapotaka kuijenga mf. Sehemu za joto kama dar na moro lazima madirisha yawe makubwa sana nk.
acha wizi wewe mantareef usipende kudhulumu haki za watu kama unata njoo uchgue utayopenda ndio utoe hela na sio nikutumie then uselect je ukisema hakuna niliyoipenda then ukaichukua mie ntajuwaje?
Mkuu hadi hapo inaonesha hajui anachokitaka na Ana mipesa kibao inamsumbua. Au keshajiunga nn
Ninazo nyingi ila soft copy nikituma utaisoma kwa prog gani. Coz mpaka uwe na prog kama auto cad. Cotem3. Au dremek java suported
Duh! Unataka ramani Ijumaa na hapo bado haijachorwa kisha msingi Juma2.
Kaka naona unafikiri hivi vitu ni rahisi sana.
Enewei, gud luck na foundation yako.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Duh!!,Unataka ramani ya nini?nyumba,kanisa,msikiti,gereji,dangulo,cinema,bar,guest,ukumbi wa mikutano???????????
Nina kiwanja changu cha ukubwa huu 90 kwa 75, jumapili nataka nianze kuweka foundation kama yupo mtu wa kuweza kunipatia ramani ya haraka anipatie na aniwekee sample zake kwenye email hii fahshana@yahoo.com.
Kama nitapata nitakayo ipenda tutafanya biashara.