Ninahitaji Power Tiller (Pawatila) used

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
6,266
Reaction score
9,239
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji powetila used aina ya kubota ya mjapan au mthailand isiwe imechoka inapiga kazi.km unayo tufanye biashara.usinitafute inbox pm yangu haifanyi kazi.
 
.km unayo tufanye biashara.usinitafute inbox pm yangu haifanyi kazi.
Mtoa mada wewe una matatizo makubwa ya kiakili, hujielewi kabisa.

Unataka biashara ila hutaki utafute PM wala inbox na namba ya mawasiliano hujiweka.

Kuandika kwenyewe haujui, ndio maana watu hawachangii kwenye uzi wako kabisa
 
Nimesema inbox yangu inashida.ila nitatoa namba ya fundi wangu utamcheki kwenye namba 0628658745.AU 0752317974.
 
Mtoa mada wewe una matatizo makubwa ya kiakili, hujielewi kabisa.

Unataka biashara ila hutaki utafute PM wala inbox na namba ya mawasiliano hujiweka.

Kuandika kwenyewe haujui, ndio maana watu hawachangii kwenye uzi wako kabisa
Asante suala la kuandika tulishaacha chekechea ila hapa nipo kibiashara sipo darasani kujifunza kuandika.unayo km huna powatila basi unaweza kuendelea na mambo yako.
 
Asante suala la kuandika tulishaacha chekechea ila hapa nipo kibiashara sipo darasani kujifunza kuandika.unayo km huna powatila basi unaweza kuendelea na mambo yako.
Wewe unaonekana mbabe kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…