Ninahitaji nyumba ya kupanga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninahitaji nyumba ya kupanga.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ramson34, Feb 9, 2011.

 1. r

  ramson34 Senior Member

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ninahitaji nyumba ya kupanga mitaa ya MIKOCHENI,KINONDONI,KIJITONYAMA au hata SINZA.

  Nahitaji chumba kimoja au viwili vya kulala self contained,jiko na sitting room.kama itakuwa na sehemu ya kupaki gari moja ndogo itakuwa safi sana.

  Bajeti yangu ni kuanzia TSHS 200000 mpaka 300000.

  Unaweza kuni private msg if you have this.

  thanks.
   
 2. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  umeshapata?kuna rafiki anahamia ktk nyumba yake,anapohama ni kinondoni b,mtaa wa togo, search for Togo street kinondoni in google maps.

  Togo street kinondoni - Google Maps

  utaona togo street ilipo
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Je maeneo ya Nananga shopping center utahitaji??kama ndiyo pm hipo hiyo nyumba ya jamaa yangu kahamia mbezi!
   
 4. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu bado ipo?
   
 5. T

  Truly JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi najua mtu anahama mwezi wa tatu mwishoni maeneo ya sinza. Nyumba vya kulala ni viwili. Kimoja ni kikubwa ila ndani kuna bafu tu choo inabidi uende nje ila kama fedha zipo utaweka mwenyewe choo ndani mtakatana kwenye kodi ya pili kama utataka. Sebule ipo nzuri tu na jiko pia. Maji ndani hakuna bomba liko hapo nje. Upande mmoja kuna fence ya ukuta kwingine hakuna ni michongoma. Hana gate ila nafasi ya kulaza gari moja ipo na anaekaa sasa hivi gari analaza hapo nje tu hakuna wizi. Hata majirani wengine wanalaza nje ila kuna mmasai analinda. Ukitaka ulindiwe walindiwa ila anaekaa hapo halindiwi na mmasai gari yake inalindwa kwa nguvu za mungu na haijawahi kuibiwa labda kwa vile sio kali kiivyo labda ndo maana anaona hawawezi kukwiba, laki mbili unusu hadi sasa sijui kama itapanda au la maana wenye nyumba nao hawakawii kupandisha
   
 6. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo mkuu we ni dalali au?
   
 7. T

  Truly JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sio dalali mimi ila anaehama namfahamu so i know the house inside and out.
   
Loading...