stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,107 Jan 3, 2014 #1 Husika na kichwa cha habari hapo juu.. Nahitaji nokia e series yoyote kwa haraka mwenye nayo aniambie na bei.. Au kama unaweza nitext kwa namba 0758158730
Husika na kichwa cha habari hapo juu.. Nahitaji nokia e series yoyote kwa haraka mwenye nayo aniambie na bei.. Au kama unaweza nitext kwa namba 0758158730
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Jan 3, 2014 #2 ipo e52 mpya kwa laki na 20
Maberere JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 316 Reaction score 93 Jan 3, 2014 #3 ngosha2011 said: ipo e52 mpya kwa laki na 20 Click to expand... mkuu nina pungufu ila naihtaji hiyo simu!
ngosha2011 said: ipo e52 mpya kwa laki na 20 Click to expand... mkuu nina pungufu ila naihtaji hiyo simu!
ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Jan 3, 2014 #4 Maberere said: mkuu nina pungufu ila naihtaji hiyo simu! Click to expand... mkuu haipungui hiyo maana ipo safi kasoro box tu
Maberere said: mkuu nina pungufu ila naihtaji hiyo simu! Click to expand... mkuu haipungui hiyo maana ipo safi kasoro box tu
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,167 Reaction score 31,351 Jan 4, 2014 #5 ninayo hapa miaka kibao natesa nayo e75 sitegemei kuiuza wala kuigawa labda waikwapue. Simu imara sana
ninayo hapa miaka kibao natesa nayo e75 sitegemei kuiuza wala kuigawa labda waikwapue. Simu imara sana
Eshacky JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 965 Reaction score 252 Jan 4, 2014 #6 amu said: ninayo hapa miaka kibao natesa nayo e75 sitegemei kuiuza wala kuigawa labda waikwapue. Simu imara sana Click to expand... na inamuonekano mzuri sana.
amu said: ninayo hapa miaka kibao natesa nayo e75 sitegemei kuiuza wala kuigawa labda waikwapue. Simu imara sana Click to expand... na inamuonekano mzuri sana.
2k Genius Member Joined Feb 27, 2011 Posts 88 Reaction score 9 Jan 4, 2014 #7 Eshacky said: na inamuonekano mzuri sana. Click to expand... sasa unaisema ya nn kama huuzi???