NajaNina umri wa miaka 34 ninahitaji mwanamke mwenye umri kati ya 22-26,mkristo (romani) mwajiriwa au hana ajira,cheupe au maji ya kunde,kama amezaa awe na mtoto 1,mwenye nidhamu
Njoo[/QUOT
Aya
Ameshapata naona Jack amechangamkia fursaHujataja wasifu wako buana.
Bado ,ameniita inboboAmeshapata naona Jack amechangamkia fursa
NajaMimi ni mwajiriwa serikalini,kama unahitaji sifa zaidi njoo inbox
πππ fursa kama hizi adimu sana,lazma niwahi mkuuAmeshapata naona Jack amechangamkia fursa
Weee! Unaenda wp,mi nishawahiππNaja
Basi nenda amesema ni mtumishi wq serikaliniBado ,ameniita inbobo
PM ni yetu sote my kazi kwake kuchagua.Weee! Unaenda wp,mi nishawahi[emoji41][emoji41]
ππππππHeee mnang'ang'aniana?
Hajataja mkoa anaoishi,ila nitaujua huko PM.Basi nenda amesema ni mtumishi wq serikalini
ππ aya shoga angu!twende wotePM ni yetu sote my kazi kwake kuchagua.