Ninahitaji mkopo wa Tsh 350,000 , dhamana vyeti vyangu vya elimu

captain dunga

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
282
627
Habari wakuu..

Nimepatwa na matatizo makubwa sana ya kifamilia, kiasi kwamba nimemaliza akiba yote niliyojiwekea bank.

Nina shida ya haraka na mkopo wa TZS 350,000/=.

Nitazirejesha Kwa riba ya 50,000..

Dhamana nitaweka vyeti vyangu vya elimu yaani... FORM FOUR, CERTIFICATE ,DIPLOMA pamoja na CHETI CHANGU CHA KUZALIWA.

Natanguliza shukrani.
 
Daaa karibià kila mtanzania kuna mahali kanasa aisee twafa aisee
 
Asante mkuu lakini sitaweza vileta huko.
Lengo langu lilikuwa kukusaidia...

Wasamaria wema wanaoweza kukusaidia lazima wajue sehemu ulipo...

Mathalani kwa bandiko lako inawezekana mtu yuko Mwanza anataka kukusaidia kumbe wewe uko Arusha...
 
Back
Top Bottom