Ninahitaji Mapapai ya kununua!

Ninahitaji Mapapai ya kununua!

Farmer82

Senior Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
183
Reaction score
39
Wadau habari!kwa wale wakulima wa mapapai na mananasi waliopo Dar es salaam na mikoa ya karibu na Dar es salaam naomba wani pm kama kuna uwezekano wa kufanya biashara!asanteni!
 
Wakulima mko wapiii

Njooni huku, soko limepatikana
 
Back
Top Bottom