Ninahitaji kutengeneza fintech Application

David Allene

Member
Jan 7, 2016
50
58
Hello guys, hope u have had a great time so far!

Guys mie naomba mnisaidie ninahitaji anaeweza kuniunganisha na mtu au kampuni ambao wako very competent kwenye programming.

Ninahitaji kutengeneza fintech application kwa ajili ya android
 
Ndugu Mimi Ninanyo Fintech ni website (bado ipo kwenye development namalizia mambo madogo), Ila Nime Target sana kwenye Virtual Card Kuliko Mambo Mengine, ndio ambacho nikanipa mawazo, Kama unahitaji Application Unahitaji Bajeti kubwa sana maana hata mimi nilitafuta ila nakutaja na bei za kuanzia $2000
 
hio dollar 2000 ni afadhali kiasi bro kuna kampuni ya India niliongea nao wanasema wanaanzia dollar 10000 nikawaza huenda ikawa Bora kama nitapata developers wa hapahapa Tz
 
Minimum budget, andaa 5M
kiasi kinaweza ongezeka kulingana na complexity ya project

Project ya namna hio,huwa zinafanywa na Team sio mtu
Nicheck kama bado hujapata developers
0748333586
 
hio dollar 2000 ni afadhali kiasi bro kuna kampuni ya India niliongea nao wanasema wanaanzia dollar 10000 nikawaza huenda ikawa Bora kama nitapata developers wa hapahapa Tz
Cost ya software development inategemea factors nyingi

1.Complexity ya Project husika
User story au Features
Targeted Platform, je unataka i run kwenye web au mobile apps
Location ya developer husika, the same project ambayo indian devs wamekutajia, inaweza ikawa mara 2 au 3 ya cost ambayo Us devs atakutajia hata kama dev skills ni zile zile
 
Back
Top Bottom