Ninahitaji jiko la kuoka mikate kwa mkaa

Ona Sasa

Member
Jul 2, 2009
65
11
Habari

Nipo Dar, ninahitaji jiko la kuoka mkate kwa mkaa, tafadhari tuwasiliane, 0786 711 786 kama hili hapa chini, nitafurahi nikimpata mtengenezaji ambaye si mchuuzi

1594557975884.png
 
Mkuu upo Dar sehemu gani? Waweza fika Kawe kanisani mkabala na mahakama yapo mengi sana pale..
 
Back
Top Bottom