Ninahisi nahitaji msaada wa kisaikolojia...

Basi tumia mizigo ya cognac au masmart gin....
 
kwanin una struggle kupata madem Mkuu,hapa ndo mwanzo wa tatizo lako,ukiwza kumiliki madem zaid ya watatu aya mawazo yako ya kumfuatilia men mwenzio yataisha,hakikisha unapiga game mara 3 mpaka 5 kwa wiki Mkuu dar es salaam hii watoto wakali kibao,naishia hapo nasubiri Mrejesho
 
Kujiona superior ni kawaida Mkuu jiweke kibrazamen anza kuwinda watoto wakali hakikisha unaonana na papuchi mara 3 mpaka 5 kwa wiki
 
Boga wali nazi, nasikia harufu ya chemba.... mwambie tu jamaa akupakue nafsi yako itulie.

Unazuga kuwa unamkubali kikawaida na hapo hapo unakiri kuwa PORN zinachangia katika mawazo hayo, sahau hilo angalizo lako usitupangie cha kukushauri unless unataka usikie unachopenda wewe tu.... hakuna cha saikolojia hapo.
 
usihukumu mana kipimo kile kile umpimiacho mtu ndicho utakachopimiwa, who are u to tell someone ni ''mdhambi''? toa kwanza boliti kwenye jicho lako ndipo utoe la mwenzio
Kama kweli unamuogopa Mungu na hujawahi kuzini nje ya ndoa yako, niquote useme SIJAWAHI.
 
Hapo kwenye para ya mwisho ndipo penye tatizo ila dogo anaficha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…