Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 375
- 638
- Thread starter
-
- #61
no it's not awkward, your mind creates that awkwardness and you believe it.
mi kuna mshkaji wangu amewahi kuniambia anapenda sana mitazamo yangu kuhusu maisha.
humu ndani kila siku utaona comments mwanaume anamwambia mwanaume mwenzake "kaka nakukubali sana", mwenzake anajibu "pamoja sana mkuu"
punguza kumek assumptions afu kumbuka wewe sio wa muhimu kama unavojichukulia.
whether you exist or you dont life still goes on.
Mkuu mpaka sahv ukimuona unakuwa na Hiyo hali?Just the way alivyo tu...yaan nikimwona tu..na kuna other factors kama course aliyosoma ndo course niliyoitamani kusoma ila sijaisoma hiyo...mahali anapotokea ni sehemu ambayo pia naipenda
Mkuu mpaka sahv ukimuona unakuwa na Hiyo hali?
AhaaahaaaNa hilo pia, litapita.
Yapo mambo ambayo kweli ni tatizo na ushauri kweli unahitajika, ila hili la kwako linasababishwa na kutofanya ibada yoyote, upo upo tu kama kiroba vile. Fanya ibada acha ujinga uende mbinguni. Alaaaaa
Me, nimekuelewa kaka, kwa mtazamo wangu sioni km n Tatizo kumpenda jamaa n hali inayotokeaga kwa watu tofaut... Tatizo nnaloliona kwako n ww kuichukulia Hiyo hali in negative way...Sikuhizi hatuonani...tulikuwa tunaonana sana chuo so chuo kimeisha
So unamfatilia, kumuwaza nakumfikiria kwa lengo.lipi??
Umle au akule???
Tuanzie hapo !!!
Sali sana, hilo ni.pepo
We jiendekeze tu, unashauriwa unajifanya una misimamo yako ya kiboya. Kwahiyo unatakaje, machoko wakufuate pm uchague? Okay nipe namba ya huyo mwanaume ambae ukimuona unasikia nyege nikusaidie kukuunganisha naeJust u can’t understand
We jiendekeze tu, unashauriwa unajifanya una misimamo yako ya kiboya. Kwahiyo unatakaje, machoko wakufuate pm uchague? Okay nipe namba ya huyo mwanaume ambae ukimuona unasikia nyege nikusaidie kukuunganisha nae
Unaongea hisia za kisodoma unataka tuongee na wewe huku tunang'ata kucha, pimbi weeeh, huo ushenzi tunajua unafanyika, kama unajisikia kufanya au kufanywa nendeni mkapinduane kimya kimya usituletee mada za kishetani hapa. Kadiri mnavyojiongelesha kwa uwazi ndivyo mnavyochota wafuasi zaidi na kutuharibia kizazi, mnataka vijana wanaokua waone kuwa shoga au kula kiboga ni jambo la kawaida na ni bora kuwa muwazi tu, manina hakuna cha uwazi kitu, koma kama ulivyokoma pimbi wee.Ndo maana niliandika sipendi matusi ama kejeli...respect ur self
Unaongea hisia za kisodoma unataka tuongee na wewe huku tunang'ata kucha, pimbi weeeh, huo ushenzi tunajua unafanyika, kama unajisikia kufanya au kufanywa nendeni mkapinduane kimya kimya usituletee mada za kishetani hapa. Kadiri mnavyojiongelesha kwa uwazi ndivyo mnavyochota wafuasi zaidi na kutuharibia kizazi, mnataka vijana wanaokua waone kuwa shoga au kula kiboga ni jambo la kawaida na ni bora kuwa muwazi tu, manina hakuna cha uwazi kitu, koma kama ulivyokoma pimbi wee.
Wewe ni mgonjwa and u need to see a doctor, wewe ni mdhambi and u need to repent. Full stopPoor you...siwezi jibishana na wewe okay by the way fikiria unavyofikiria...Muhimu I know who I’m
usihukumu mana kipimo kile kile umpimiacho mtu ndicho utakachopimiwa, who are u to tell someone ni ''mdhambi''? toa kwanza boliti kwenye jicho lako ndipo utoe la mwenzioWewe ni mgonjwa and u need to see a doctor, wewe ni mdhambi and u need to repent. Full stop
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizo ni dalili za kuwa wali nazi. Kemea kabisa hilo pepo na pia anza kutafuta madem wa kugonga ili uwe na uzoefu.
Mm simjui dingi lai ila sina izo mikatoUlimiss upendo wa baba.
1. Jichanganye na wanawake na acha kuangalia pono.
2. Fanya mazoezi uongeze uwezo wa kufanya mapenzi na mademu.
3. Acha kupenda kukaa mwenyewe na kuwaza upuuzi.
4. Acha kujilegeza legeza kuwa ngangari mzee tutakupoteza shukuru una marafiki sio mamende...
5. Unaishi wapi na umekulia wapi? Unaishi mwenyewe au bado upo kwa mama?
wakati mwingine ni mawazo tu na kama unaangalia porn za jinsia moja unaeza kuwa unatamani pia kuwa top?dawa muhimu zaidi ni kujichanganya na watu na kujiepusha na kukaa peke yako kabisaaHabarini za humu JamiiForums ....Kwanza kabisa nitoe angalizo sihitaji matusi au kejeli...
Ipo hivi mimi ni kijana umri wangu miaka 25 ni mhitimu katika chuo Kimoja hapa hapa Dar es Salaam.Shida yangu kubwa ni kwamba ninahisi ninatatizo la kisaikolojia hii ni kutokana na vitu ambavyo ninavipitia katika maisha yangu..wakati bado nipo chuo huwa kuna hali ilikuwa inanitokea hali hiyo naona inaniletea madhara katika maisha yangu yaani ipo hivi kuna mtu mmoja jinsia yangu kabisa ila ilikuwa yaani ninamuadmire sana kiasi kwamba unakuta ninamfatilia au ninamfikiria kimsingi mimi ni rijali kabisa ila hii hali inanishangaza Kwann nisiwe na time ya kufikiria sana watoto wakike then niwe namfatilia au kumfikiria mtu ambaye hana mpango na mimi au hakuna chochote kitakacho endelea hata kama nikiwa nae karibu...Yaani ilifika time nikamfollow kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kuchat nae yaani basi tu..Hadi namba yake ninayo ila ninachojiuliza kwanini nihisi hivyo au nina nn....Naombeni ushauri au kama pia kuna mtu wa saikolojia anisaidie.
Asanteni
Mm simjui dingi lai ila sina izo mikato