Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
- Thread starter
-
- #41
Nilivyokuelewa ni kama admiration ya kawaida tu na NIAMINI hakuna kitu wanaume wa kitanzania tunayo kama INFERIORITY COMPLEX, tunaamini kuwa we are the best and baddest hivyo, kumkubali mwanaume mwenzako on public unaonekana kama una shobo au unapungukiwa kitu au unajishusha uanaume wako which is totally wrong. Wanaume tupo tofauti na kipekee katika kila sehemu, kumkubali mtu haimaanishi kujitilia shaka au kupunguza uanaume, uzuri au upekee wako
Mimi kama namkubali mtu huwa sipati shida kumuweka karibu na ni kitu cha kawaida tu katika networking so long as huyo mtu anaongeza kitu katika maisha yangu iwe financially, spiritually or socially..
Tatizo lipo kama unavutika sexually kwake lakini kama ni hii ya kawaida. Mbona sioni tatizo mkuu
OK ni nini kinakuvutia kwakeIla Mimi ninahisi kutaka niwe nae karibu naona kama wrong or shobo...so what’s your take on that?
OK ni nini kinakuvutia kwake
So he is practically what you wish to be..Just the way alivyo tu...yaan nikimwona tu..na kuna other factors kama course aliyosoma ndo course niliyoitamani kusoma ila sijaisoma hiyo...mahali anapotokea ni sehemu ambayo pia naipenda
So he is practically what you wish to be..
Ukimuonaaa , what's the feeling or unataka kufanya nae nini zaidi
There's nothing wrong with that.. kutamani mtu awe rafiki yako it's normal especially kama una standard ya cycle unayotamani kuwa nayo so, mtu akiwa vile unavyotaka rafiki yako awe ni kawaida kupata attraction in a positive way. Mbona ni kawaida na hata katika business watu hufanya just the same ili kuongeza watu watakaowarahisishia mambo yao. Mbona watu wana role models wao kama wasanii na utakuta mtu anabadili hadi life style ili awe kama mtu anayemu_admire.I wish awe rafiki yangu...kuongea nae na kumjua zaidi...
Muite umwambie kwamba unamkubali sana.
There's nothing wrong with that.. kutamani mtu awe rafiki yako it's normal especially kama una standard ya cycle unayotamani kuwa nayo so, mtu akiwa vile unavyotaka rafiki yako awe ni kawaida kupata attraction in a positive way. Mbona ni kawaida na hata katika business watu hufanya just the same ili kuongeza watu watakaowarahisishia mambo yao. Mbona watu wana role models wao kama wasanii na utakuta mtu anabadili hadi life style ili awe kama mtu anayemu_admire.
It's just normal unless what you are saying is just a small part of what you should completely tell
anakujua?Naona noma kumwambia hivyo...ila nilishawahi kufungua account fake ya Insta nikamwambia tunasoma chuo wote huwa ninamkubali sana..akanijibu asante sana...akanipa na number yake but mimi nikampa fake...ninahisi sio Poa
anakujua?
Mwambie moja kwa moja uso kwa uso. Hilo ndilo suluhisho la kisaikolojia unalolihitaji.Naona noma kumwambia hivyo...ila nilishawahi kufungua account fake ya Insta nikamwambia tunasoma chuo wote huwa ninamkubali sana..akanijibu asante sana...akanipa na number yake but mimi nikampa fake...ninahisi sio Poa
mtu anaweza kujua kama unamkubali na kusiwe na tatizo kabisa. kwanini unahisi akijua kutakua na tatizo? unahisi atakuona shoga? if there's nothing malicious then why hide it?Sasa shida inakuja hivi sipendi kuonekana kama namkubali sana japo huo ndo uhalisia
Mwambie moja kwa moja uso kwa uso. Hilo ndilo suluhisho la kisaikolojia unalolihitaji.
mtu anaweza kujua kama unamkubali na kusiwe na tatizo kabisa. kwanini unahisi akijua kutakua na tatizo? unahisi atakuona shoga? if there's nothing malicious then why hide it?
You are taking this issue a way too serious. Kwani lazma umuambie kama haupo comfortable na hata ukimuambia what's wrong with that kama mtu anajielewa ??...Sasa shida inakuja hivi sipendi kuonekana kama namkubali sana japo huo ndo uhalisia
Na hilo pia, litapita.
Yapo mambo ambayo kweli ni tatizo na ushauri kweli unahitajika, ila hili la kwako linasababishwa na kutofanya ibada yoyote, upo upo tu kama kiroba vile. Fanya ibada acha ujinga uende mbinguni. Alaaaaa
no it's not awkward, your mind creates that awkwardness and you believe it.Aaaanh sio kuniona shoga,hapana I think sio poa tu...yaan it’s awkward
You are taking this issue a way too serious. Kwani lazma umuambie kama haupo comfortable na hata ukimuambia what's wrong with that kama mtu anajielewa ??...
RELAX mkuu, it's normal na mara nyingine unaweza pata rafiki akawa zaidi ya ndugu yaani akawa zaidi hata ya mtu wako. Mtu kuwa mwanaume haimaanishi hawezi kuwa na maana kubwa katika maisha yako kuliko mwanamke. Usiache akili za kipuuzi zikuongoze, you are the master of your own world, just make decisions solely on whats good for you because you understand your life better than any of us. Don't create unnecessary dramas to steal the happiness you deserve in your life, just live it fully