Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,022
- 14,891
Nimekulia mwanza..now sipo kwa mama yeye yupo mkoa ila hapa nipo kwa mama mdogo
Asante sana kwa ushauri wako...kweli porn naangalia pia huwa napenda sana kujichanganya na watu ila sometimes nakosa wa kujichanganya nao kuna hali ya kisuperior katika moyo wangu huwa najihis special so kuchanganyika na watu mpaka ni wazoee sana...kuhusu marijuana no I can’t use it
Hizo ni dalili za kuwa wali nazi. Kemea kabisa hilo pepo na pia anza kutafuta madem wa kugonga ili uwe na uzoefu.
yeah mzee relax cha kwanza punguza kujihisi then go to movie anza=isha hata kaschedule fulani hata kakukimbia hivi kaa na masela cheza game potezea na cha muhimu porn ndo imekuharibu ndio sababu kubwa sasa ubongo unajena thoughts unakuta from no whre unawaza ujinga acha porn,,,jichanganyeAsante sana kwa ushauri wako...kweli porn naangalia pia huwa napenda sana kujichanganya na watu ila sometimes nakosa wa kujichanganya nao kuna hali ya kisuperior katika moyo wangu huwa najihis special so kuchanganyika na watu mpaka ni wazoee sana...kuhusu marijuana no I can’t use it
Jitahidi kuwa busy na mambo mengine....
Ukitumia marijuana watakukaza wallah....
[/QUOTE
tatizo watu wanaoisema n wale amabao hawaitumii
yeah mzee relax cha kwanza punguza kujihisi then go to movie anza=isha hata kaschedule fulani hata kakukimbia hivi kaa na masela cheza game potezea na cha muhimu porn ndo imekuharibu ndio sababu kubwa sasa ubongo unajena thoughts unakuta from no whre unawaza ujinga acha porn,,,jichanganye
ni shetani,yupo kwenye PORN movies..anavuta watu huko...acha kabisaa Lucifer yuko huko….kama huamini shauri yako...lol
Ulimiss upendo wa baba.
1. Jichanganye na wanawake na acha kuangalia pono.
2. Fanya mazoezi uongeze uwezo wa kufanya mapenzi na mademu.
3. Acha kupenda kukaa mwenyewe na kuwaza upuuzi.
4. Acha kujilegeza legeza kuwa ngangari mzee tutakupoteza shukuru una marafiki sio mamende...
5. Unaishi wapi na umekulia wapi? Unaishi mwenyewe au bado upo kwa mama?
nadhani ulimaanisha alimiss upendo wa mama. sababu atakua amelelewa kwenye kampani ya kiume/baba basi comfort zone yake ni kampani ya wanaume.....
Mtoa mada jaribu kufanya kama ulivyoshauriwa jichanganye nenda kwa mfano kwenye concerts/meetings ambazo kuna mchanganyiko wa wanaume na wanawake,ukienda mara kwa mara anxiety yako towards wanawake itapungua...sisi sio mazimwi bwanaa..[emoji28][emoji28][emoji28]
Mchawi Wako Namba Moja Ni Porn Jitahidi Kuacha Kuangalia Porn
Utawezaje Kuacha Kuangalia Porn?
Mara Nyingi Wengi Wanaoangalia Porn Uishia Kupiga Selfie(Punyeto/Puli/Kujichua)
Twende Sawa Hapo Ndugu Yangu.
Hatua Namba 1. Anza Kwa Kufanya Mazoezi Mkuu Hapa Naomba Uwe Na Commitment Haswaa Maana Unajitibu Mwenyewe.
Hakuna Kitu Kina Chosha Kama Unafanya Mazoezi Na Unapiga Puli/Punyeto. Sasa Ukiamua Kweli Kweli Ndani Ya Week 3 Nakuhakishishia Utakuwa Sehemu Nyingine.
Kwa Leo Naishia Hapo Kamanda Nasubiri Mrejesho Umefika Wapi.
Mazoezi Mwanzo Huwa Yanachosha Ila Ukiwa Na Consistency Vizuri Inakuwa Tabia Yako Ya Mazoezi.
Okay sawa...ntaanza mazoezi halafu ntakupa mrejesho
Unaangalia porno ili iweje chiefAsante sana kwa ushauri wako...kweli porn naangalia pia huwa napenda sana kujichanganya na watu ila sometimes nakosa wa kujichanganya nao kuna hali ya kisuperior katika moyo wangu huwa najihis special so kuchanganyika na watu mpaka ni wazoee sana...kuhusu marijuana no I can’t use it
Kwamba unawapata wavulana?Ndio...Japo huwa ninastruggle sana kuwapata wasichana
Kwamba unawapata wavulana?