Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
ni jibu sahihi kama sio kiben10Kwamba analiwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Akiona unamfatilia sana atakuambia Kuna jimama linamtunza lakini ukijiongeza kidogo utagundua kuna watu wa DAWASCO wanachimbua mtaro. Akili mukichwa.Naomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.
Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.
Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
Anajitenga nae anaogopa atamwambukiza harufu ya kinyeo😅Kwamba analiwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Akaguliwe 'marinda' huyo rafiki yako.Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana,
Kuna jamaa anaitwa X alienda kampuni maarufu ya kuuza mafuta kuomba kazi, alipofika pale head of HR ni Muarabu akamwambia mwana yupo tayari kumpa apartment Masaki na kumnunulia Forester ila anataka awe anamkaza. Yaani Boss ni Choko na analiwa kisamvu. Mwana kanionesha mpaka text zake. Na toka siku hiyo anatumiwa pesa yoyote ila bado anawaza kufanya tukio hili. So usije kuta na huyo jamaa ako kuna mzee anampinda.Naomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.
Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.
Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
Madogo wanapenda slope sana. Yote yanawezekanaKwamba analiwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hapo ushaona manyoya, ujue kaliwa!!!🧖♀️🧖♀️🧖♀️Naomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.
Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.
Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
Kuna mambo yanafurahisha sana kwenye hii dunia! Dunia inakwenda kwa kasi sana!!Akiona unamfatilia sana atakuambia Kuna jimama linamtunza lakini ukijiongeza kidogo utagundua kuna watu wa DAWASCO wanachimbua mtaro. Akili mukichwa.
Hii ya kusema eti majimama yanatoa hela aisee wanawake no mabahili sana very few huwa wanahonga kwa ajili ya kuliwa.
Hawa vijana wasikudanganye huyo utakuja kusikia tu hawezi kukaa straight lazima akalie Kota moja [emoji23]
Keshakula huyo... Nguvu ya Ushawishi iliyotumika ni noma sana.Kuna jamaa anaitwa X alienda kampuni maarufu ya kuuza mafuta kuomba kazi, alipofika pale head of HR ni Muarabu akamwambia mwana yupo tayari kumpa apartment Masaki na kumnunulia Forester ila anataka awe anamkaza. Yaani Boss ni Choko na analiwa kisamvu. Mwana kanionesha mpaka text zake. Na toka siku hiyo anatumiwa pesa yoyote ila bado anawaza kufanya tukio hili. So usije kuta na huyo jamaa ako kuna mzee anampinda.