Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,662
Assembly langage!
Mbitiyakahama (iyouwawa stendi)Mbitiyape
Mbitiyabhuyenze
Mbitiyisonzhu
Mbitimesu
Mbitiyabhogondo
Mkuu, Muda wa kusoma ni 2 to 3 weeks(maximum),kutegemeana na course.Unatumia muda gani kwa mfano kufundisha mysql?
(Ana kwa ana)
Kwa kuwa unafanya kazi , uakutana na wanafunzi SAA ngapi?
Karibu sana mkuu, milango iko wazibei ni nzuri ngoja nijaribu moja ili kuongeza maarifa
Kwa Muliopo mbali tunasoma kwa utaratibu wa Online kama nilivyoelezea hapo juu kwenye tangazo mkuuTuliopo mbali
Java unatumia framework gani?Wakuu, Mimi ni Computer Programmer by Profession. Nina Bachelor Degree in Computer Science. Niko Dar Es Salaam.
Kwa wenye Interest ya Kutengeneza Web Applications/Websites pamoja na Kutengeneza Software, hii ni nafasi yako.
Ninafundisha Computer Languages zifutazo:
Compuer Programming kwa language hizi:
Web Development/Website Design kwa language hizi:
- C
- C++
- Java
- Python
ANGALIA PICHA HAPA CHINI KWA BEI YA KILA LANGUAGE, UTALIPIA KWA AWAMU
- HTML
- CSS
- JQUERY
- PHP
- MYSQL
ONLINE:
Kwa wale walio mbali au waliobanwa na majukumu ninawafundisha ONLINE,Ninatengeneza Videos nikifundisha kila kitu PRACTICALLY and then ninakutumia. Ninaconduct Video session pamoja na Kukuelekeza kwa Simu endapo kuna mahali utahitaji Clarification zaidi.
ANA KWA ANA:
Ninafundisha ANA KWA ANA kwa wale walio Dar. Mimi Nipo hapa hapa Dar, So Ninakukaribisha sana. Mazingira yapo vizuri tayari.
Uzoefu:
- Currently ninafanya kazi kama Programmer kwenye shirika moja hapa Dar es Salaam.
- Kabla ya hapa, nilikuwa nafundisha Computer Science/IT kwenye Chuo Kikuu kimojawapo hapa Dar Es Salaam
- Nimetengeneza System mbalimbali kwa kampuni tofauti-tofauti na ninafanya hivyo hata sasa
Namba zangu ni 0718 392 735 na 0787 130 836
Karibuni Sana, Chagua Language yoyote unayotaka kusoma and then Tuwasiliane
Mobile App(Android) itakulazimu kusoma Java na XMLMkuu kama nataka kusoma mobile app and software, nachukua language gani
Nikategemea kuona bei ya kila language kama ulivyo sema
Nimekutumia bei na gharama za kila language inboxGhalama sh ngapi mkuu,nahitaji kupata hiyo knowledge mkuu,maana nataka ku chakata formula zangu za bettings.
Ghalama sh ngapi mkuu,nahitaji kupata hiyo knowledge mkuu,maana nataka ku chakata formula zangu za bettings.
napenda kujifunza database niwe nondo na kufanya practical vizuri so nahitaji kusoma nn kati ya hizo?Wakuu,mambo vipi! Mimi ni Mtaalamu wa Computer, Nina Bachelor Degree in Computer Science. Nipo Dar Es Salaam. Kwa sasa Ninafundisha kwenye Chuo kikuu kimojawapo hapa Dar.
Ninafundisha MTU mmoja mmoja au group mambo yafuatayo:
Computer Programming: Java, Python, Php, C,C++,Visual Basic
Web Development: Php,JavaScript, HTML ,CSS
Database: Mysql, SQL,MongoDB
Cms:Joomla,WordPress, Blog
Kwa lugha rahisi nitakufundisha:
(a) Kutengeneza Web Applications
(b) Kutengeneza Software
(c) Kutengeneza Website na Blog
Mambo yote yanafanyika KIVITENDO,PRACTICAL LY Kabisa ukishuhudia.
Mazingira ya Kujifunzia Yapo tayari,Computer Zipo za kutosha Na hata ukihitaji nikufuate ulipo nitafanya hivyo.
Bei ni Rahisi na ni maelewano kutokana na unachotaka kusoma. Namba zangu ni 0718 392 735 na 0787 130 836
Tuwasiliane na Karibuni tupige Code.
Nb: Chagua chochote ambacho unapenda kukisoma katika hayo, Uniambie and then tu-arrange.
Visual basic kiasi gani?Hapana, Ninafundisha BINAFSI. So sitoi cheti.
Uhakika wa kuelewa kwa mtu asiyejua code kabisa ni %ngapi kulingana na kipaji chako cha ufundishaji?Mkuu South, Ninafundisha pia hata kwa walioko mbali/mikoani.
Hakuna linaloshindikana.
Kwa wewe ambaye upo mbali,utaratibu ni kama ifuatavyo:
(a) Nitarecord vizuri kabisa somo husika na nitakuwa nakutumia video clips za kila topic kwenye email yako.
(b) Nitakuelekeza kwa kutumika Simu au Video call popote utakapokuwa hujaelewa vizuri.
(c)Nitakuasist mahali popote utakapohitaji msaada throughout the course
Ninaamini tutaenda vizuri mwanzo mpaka mwisho wa course yetu.
Ninakukaribisha