Ninafundisha Programming , Website and Database

Ninafundisha Programming , Website and Database

Mkuu mwaminifuhalisi, huyo jamaa aliyeweka hizo websites za template SIO MIMI MUANZISHA UZI.

Ni mdau mwingine aliyevamia Uzi wangu na kuanza kutangaza mambo yake.

Mimi situmii templates, I'm a Coder....and I do it from Scratch na ninamfundisha mtu kuandika Code from Scratch.

Naomba hilo lieleweke mkuu.
Unaweza kutengeneza app kama ya muungwana blog? Nahitaji atakayenitengenezea app ya blog yangu, kama unaweza ni pm bei ya kufanya hiyo kazi, playstore account ntailipia mimi.
 
Mkuu South, Ninafundisha pia hata kwa walioko mbali/mikoani.

Hakuna linaloshindikana.

Kwa wewe ambaye upo mbali,utaratibu ni kama ifuatavyo:


(a) Nitarecord vizuri kabisa somo husika na nitakuwa nakutumia video clips za kila topic kwenye email yako.


(b) Nitakuelekeza kwa kutumika Simu au Video call popote utakapokuwa hujaelewa vizuri.


(c)Nitakuasist mahali popote utakapohitaji msaada throughout the course

Ninaamini tutaenda vizuri mwanzo mpaka mwisho wa course yetu.

Ninakukaribisha
Nashukuru kwa hilo kingine sina utaalamu wowote wa computer japo vitu vidogo vidogo navijua
 
Unaweza kutengeneza app kama ya muungwana blog? Nahitaji atakayenitengenezea app ya blog yangu, kama unaweza ni pm bei ya kufanya hiyo kazi, playstore account ntailipia mimi.
Mkuu Sijuti, kwa sasa hivi sitengenezi Apps. Ila Ndani ya Miezi miwili kuanzia sasa nitatengeneza Android Apps na nitaziweka humu watu wazione(snaps pamoja na jina zitakazokuwa zinatumia kwenye playstore).
 
Wakuu,mambo vipi! Mimi ni Mtaalamu wa Computer, Nina Bachelor Degree in Computer Science. Nipo Dar Es Salaam. Kwa sasa Ninafundisha kwenye Chuo kikuu kimojawapo hapa Dar.

Ninafundisha MTU mmoja mmoja au group la watu mambo yafuatayo:

Computer Programming: Java, Python, Php, C,C++,Visual Basic

Web Development: Php,JavaScript, HTML ,CSS

Database: Mysql, SQL,MongoDB

Cms:Joomla,WordPress, Blog

Kwa lugha rahisi nitakufundisha:
(a) Kutengeneza Web Applications
(b) Kutengeneza Software
(c) Kutengeneza Website na Blog

Mambo yote yanafanyika KIVITENDO,PRACTICALLY Kabisa ukishuhudia.
Mazingira ya Kujifunzia Yapo tayari,Computer Zipo za kutosha Na hata ukihitaji nikufuate ulipo nitafanya hivyo.

Bei ni Rahisi na ni maelewano kutokana na unachotaka kusoma. Namba zangu ni 0718 392 735 na 0787 130 836

Tuwasiliane na Karibuni tupige Code.
sifa ni zipi!
 
Kwanini usifanye mpango wa kutoa somo online Ili uwafikie wengi kwa wakati..!
 
Unatumia templates, au unaunda mwenyewe from the scratch. nimeona hapa ni kama umetumia templates za watu za wordpress.
kwa web mostly natumia templates zilizotayari kama wordpress,joomla,modx etc,but for web applications nilizotengeneza nanza mwanzo kabisa.
 
Back
Top Bottom