Ninafundisha Programming , Website and Database

kwa web mostly natumia templates zilizotayari kama wordpress,joomla,modx etc,but for web applications nilizotengeneza nanza mwanzo kabisa.

sio wizi wala utapeli ,hujui mana ya open source mzee..pia hujui template ni nn
Anzisha Uzi wako ili utangaze mambo yako Vizuri kama na huyu mtoa mada alivyofanya. Kuvamia Uzi wa tangazo la mtu na kupachika matangazo yako ni USHAMBA.
 
Nataka kujua zaidi hiyo mambo, mana tangu nilipoachana nayo chuo nishasahau. Nahisi utakuwa masaada sana kwangu
Nicheki kwa email hii:
tadam918@gmail.com
 
Natamani kuwa hacker japo hata kidogo tu ila sijuagi kabisa habari za IT

Nicheki Inbox, nafanya Network Audits...Hacking ni part ya kazi zangu,

mwenye interest na hacking anione..

angalizo: i'll just teach and instruct..you do it at your own risk, pia mpango wa kuonana face to face sahau..labda baada ya kujiridhisha sana...

instruction ya kwanza bure.
 
Okey boss lakin angalizo jingine mimi sijui chochote kuhusu IT tofauti na kutumia computer kwa matumiz ya kawaida tu.
 
Wakuu, Mimi ni Computer Programmer by Profession. Nina Bachelor Degree in Computer Science. Niko Dar Es Salaam.

Kwa wenye Interest ya Kutengeneza Web Applications/Websites pamoja na Kutengeneza Software, hii ni nafasi yako.
Ninafundisha Computer Languages zifutazo:

Compuer Programming kwa language hizi:
  • C
  • C++
  • Java
  • Python
Web Development/Website Design kwa language hizi:
  • HTML
  • CSS
  • JQUERY
  • PHP
  • MYSQL
ANGALIA PICHA HAPA CHINI KWA BEI YA KILA LANGUAGE, UTALIPIA KWA AWAMU

ONLINE:
Kwa wale walio mbali au waliobanwa na majukumu ninawafundisha ONLINE,Ninatengeneza Videos nikifundisha kila kitu PRACTICALLY and then ninakutumia. Ninaconduct Video session pamoja na Kukuelekeza kwa Simu endapo kuna mahali utahitaji Clarification zaidi.

ANA KWA ANA:
Ninafundisha ANA KWA ANA kwa wale walio Dar. Mimi Nipo hapa hapa Dar, So Ninakukaribisha sana. Mazingira yapo vizuri tayari.

Uzoefu:
  • Currently ninafanya kazi kama Programmer kwenye shirika moja hapa Dar es Salaam.
  • Kabla ya hapa, nilikuwa nafundisha Computer Science/IT kwenye Chuo Kikuu kimojawapo hapa Dar Es Salaam
  • Nimetengeneza System mbalimbali kwa kampuni tofauti-tofauti na ninafanya hivyo hata sasa

Namba zangu ni 0718 392 735 na 0787 130 836

Karibuni Sana, Chagua Language yoyote unayotaka kusoma and then Tuwasiliane
 
Attachments

  • Picture9.png
    Picture9.png
    60.8 KB · Views: 53

    60.8 KB · Views: 72
Unatumia muda gani kwa mfano kufundisha mysql?
(Ana kwa ana)
Kwa kuwa unafanya kazi , uakutana na wanafunzi SAA ngapi?
 
Mbitiyape
Mbitiyabhuyenze
Mbitiyisonzhu
Mbitimesu
Mbitiyabhogondo
 
Back
Top Bottom