Ninafundisha Programming , Website and Database

Ninafundisha Programming , Website and Database

Wakuu,mambo vipi! Mimi ni Mtaalamu wa Computer, Nina Bachelor Degree in Computer Science. Nipo Dar Es Salaam. Kwa sasa Ninafundisha kwenye Chuo kikuu kimojawapo hapa Dar.

Ninafundisha MTU mmoja mmoja au group la watu mambo yafuatayo:

Computer Programming: Java, Python, Php, C,C++,Visual Basic

Web Development: Php,JavaScript, HTML ,CSS

Database: Mysql, SQL,MongoDB

Cms:Joomla,WordPress, Blog

Kwa lugha rahisi nitakufundisha:
(a) Kutengeneza Web Applications
(b) Kutengeneza Software
(c) Kutengeneza Website na Blog

Mambo yote yanafanyika KIVITENDO,PRACTICALLY Kabisa ukishuhudia.
Mazingira ya Kujifunzia Yapo tayari,Computer Zipo za kutosha Na hata ukihitaji nikufuate ulipo nitafanya hivyo.

Bei ni Rahisi na ni maelewano kutokana na unachotaka kusoma. Namba zangu ni 0718 392 735 na 0787 130 836

Tuwasiliane na Karibuni tupige Code.

Wewe mwenyewe umeisha wahi kutengeneza Web - Based application yoyote labda ili utupe link tuone kama tunaweza rely on you?
 
Waelengwa hapa ni wale kidogo wenye mwanga na IT na Computer science

Wengine wacha tutulie tu au tunaweza kwenda sawa.
 
Wewe mwenyewe umeisha wahi kutengeneza Web - Based application yoyote labda ili utupe link tuone kama tunaweza rely on you?
YES...Nimetengeneza Web Based Applications kwa Baadhi ya makampuni ya hapahapa Dar na Wamezihost kwenye LAN za wateja wao ( Intranet), so Unfortunatelly you can't access them online.

But,I have them in my computer and I'M READY TO DEMONSTRATE THEM TO YOU anytime ukihitaji, Ili u-prove uwezo wangu practically.

Mojawapo ya Systems Nilizotengeneza:
=>Accounting Web Application
=>Hospital Management System
=>School Management System

And I'm cureently working on my own project, The Stock Management Application ambayo itakamilika ndani ya mwezi huu na itakuwa online.
 
Waelengwa hapa ni wale kidogo wenye mwanga na IT na Computer science

Wengine wacha tutulie tu au tunaweza kwenda sawa.
Kila mtu, hata ambaye sio mwana IT,kama ana Interest ya kutengeneza Web Applications, Kutengeneza Software,Kutengeneza Websites na Kutengeneza Systems za namna mbalimbali anakaribishwa.

Sio ngumu sana kujifunza haya mambo,Ukiweka juhudi unaweza.

Karibu sana
 
napenda hivu vitu sana na mambo ya graphics design

tatizo hela tu
 
YES...Nimetengeneza Web Based Applications kwa Baadhi ya makampuni ya hapahapa Dar na Wamezihost kwenye LAN za wateja wao ( Intranet), so Unfortunatelly you can't access them online.

But,I have them in my computer and I'M READY TO DEMONSTRATE THEM TO YOU anytime ukihitaji, Ili u-prove uwezo wangu practically.

Mojawapo ya Systems Nilizotengeneza:
=>Accounting Web Application
=>Hospital Management System
=>School Management System

And I'm cureently working on my own project, The Stock Management Application ambayo itakamilika ndani ya mwezi huu na itakuwa online.

Basi sawa, nimekuelewa. Nimeisha chukua namba zako nitakucheki soon after Easter.
 
Pia mdoghosho ungeweka hata range tu ya gharama zako ili tujipime uwezo kama tutaweza kumudu, Maana kuna wengine wanaweza wakawa wanatamani sana kufundishwa ila wakadhani ni ghali sana. Kama hutajali lakini.
 
Natamani sana kusoma hizi vitu ila niliko hakuna wataalam
 
mi pia nafanya hizo training na sample website project zangu ni, www.must.ac.tz , www.mimimjasiriamali.com , www.wamicollege.ac.tz ,.
if interested check me:0713449245 (available in DSM)
Unatumia templates, au unaunda mwenyewe from the scratch. nimeona hapa ni kama umetumia templates za watu za wordpress.
 
Kama anatumia template huo ni utapeli Wa waziwazi.
Mkuu Troll JF,Mimi nimeanzisha uzi na kuweka tangazo langu. Situmii template yoyote.

Huyu mtu anayetumia Templates ni mtu tofauti Aliyevamia Post ya tangazo langu na kuanza kutangaza Matangazo yake na mambo yake.

Naomba hili lieleweke mkuu.
 
Unatumia templates, au unaunda mwenyewe from the scratch. nimeona hapa ni kama umetumia templates za watu za wordpress.
Mkuu mwaminifuhalisi, huyo jamaa aliyeweka hizo websites za template SIO MIMI MUANZISHA UZI.

Ni mdau mwingine aliyevamia Uzi wangu na kuanza kutangaza mambo yake.

Mimi situmii templates, I'm a Coder....and I do it from Scratch na ninamfundisha mtu kuandika Code from Scratch.

Naomba hilo lieleweke mkuu.
 
Nimekuelewa nilikuwa sijaangalia vizuri, samahani sana mkuu.
 
Natamani sana kusoma hizi vitu ila niliko hakuna wataalam
Mkuu South, Ninafundisha pia hata kwa walioko mbali/mikoani.

Hakuna linaloshindikana.

Kwa wewe ambaye upo mbali,utaratibu ni kama ifuatavyo:

(a) Nitarecord vizuri kabisa somo husika na nitakuwa nakutumia video clips za kila topic kwenye email yako.

(b) Nitakuelekeza kwa kutumika Simu au Video call popote utakapokuwa hujaelewa vizuri.

(c)Nitakuasist mahali popote utakapohitaji msaada throughout the course

Ninaamini tutaenda vizuri mwanzo mpaka mwisho wa course yetu.

Ninakukaribisha
 
Back
Top Bottom