Ninaflash simu na kutoa lock kwa bei rahisi sana (njia ya imei na software)

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
310
225
Ninaflash simu aina zote na kutoa lock uweze kutumia laini zote kwa bei rahisi sana, mfano blackberry, nokia na iphone kwa njia ya software ni elfu 30 tu. Pia ninatoa lock wa njia ya imei (simu za Tigo na voda ni elfu kumi tu).

Shuka hapa nikuhudumie ama nitafute kwa 0763969066. kwa whatsapp, skype pia tumia namba hiyohiyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom