Ninafikiri naweza kupata a serious wife toka humu JF

Ninafuatilia taraka kwa mke tuliyeshindwana kuendelea kuishi naye. Maswali yatajibiwa kwa potential wife through pm. Wasema hovyo wanaruhusiwa kuongea kuondoa stress zao. Ex wife anajijua, naomba usilete fujo kwenye pm, ila unaruhusiwa kujieleza hapa.

Maelezo ya msingi yanayo nihusu kusaidia mwenye kuamua
1. Sina mali yoyote, ila niko kuijenga
2. Umri miaka 65
3. Kazi, mkulima
4. Watoto wa kufikia 4, wote above 7 years
5. Dini sio muhimu.
HAPO UNATAFUTA PA KUFIA KIUKWELI....
 
Huyo mtu mzima keshamakiza yote, hataweza kukusumbua ifanyie kazi hiyo application
Hao watu nusu ndio wakoje? Mbona jamvi letu linasifika kwa kusheheni watu waliopevuka sana! Huyu naye vipi?
 
Haha...

Zipo anawapima imani. Nenda walai utaleta mrejesho
Wala siwapimi ndugu ila inanisaidia kujua pia kwamba wanawake wengi yamkini na wanaume wengine hawajui tafsiri halisi ya mali!
 
Walio serious watakuja.

Ila kwa nini msi solve migogoro yenu mkaishi mpaka mkazikana? Divorcing at 65?
Baba yangu umeniangusha.
Asante Patience nawasubiri hao walio serious

Mtu mzima akifikia mahali hapo ujue yamemfika pabaya. Huyo atakaye fanikiwa kuwa sehemu ya maisha yangu atakuwa na nafasi ya ku judge kama hizo sababu zinaridhisha, akitaka kuzijua.
 
Wazee mnatubana bana tunakosa hewa humu....wakati wenu ulishapita......................
 
Wazee mnatubana bana tunakosa hewa humu....wakati wenu ulishapita......................
Idadi ya wanawake duniani inazidi wanaume. Wewe unataka wangapi? Au na wewe unatafuta! Kwanza hujapevuka wewe kutaka tukuoze mke.
 
Nimejaribu kufafanua baadhi ya comments ili nisije nikamkosa huyo anayesitasita kujitokeza. Ninajua atakuwepo mmoja tu. Akija nitamtambua tu.
 
Back
Top Bottom