Ninafikiri naweza kupata a serious wife toka humu JF

mkuu vipi miaka yote umekuwa na mishe gani za kujisakia mali?..hivi kama imeshindikana kujijenga wakati wa ujana wako....anyway kila la kheri..
 
Daah!!! 65!!!! Mzee umekula maisha!
Humu mtu unaweza jikuta una-flirt na babu yako aisee!!!

Kika la heri katika kutafuta mkuu!
 
Asante Patience nawasubiri hao walio serious

Mtu mzima akifikia mahali hapo ujue yamemfika pabaya. Huyo atakaye fanikiwa kuwa sehemu ya maisha yangu atakuwa na nafasi ya ku judge kama hizo sababu zinaridhisha, akitaka kuzijua.
Haya baba yangu,nakutakia kila la kheri,umpate atakayekuwa na kheri kwa maisha yako yaliyosalia. Ubarikiwe.
 
Baba baba nashauri pumzika kwanza .Talaka ikitokea uje tena.Kama alivyosa.miss natafuta.Leo tumepatikana
 
Back
Top Bottom