Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,981
We jamaa ni Nanga kwenye Mapenzi. Unamfuata mwanamke direct unasema unataka kumuoa
Anatakiwa amwambiaje?We jamaa ni Nanga kwenye Mapenzi. Unamfuata mwanamke direct unasema unataka kumuoa
kiwango cha sgr ee
Anatakiwa amwambiaje?
kweli kabisa mpe funzoKuna Urafiki uchumba then Ndoa. Sasa jamaa anaskip step zote hizo yeye anataka ndoa. Hata huyo mwanamke lazima atamshangaa. Ndoa sio ki rahisi na ghafla hivyo
Anataka umbandue na tigo.Moja kwa moja kwenye mada..
Kuna binti mmoja nampenda sana na hata yeye analijua hilo nili mu approach tena nikiwa serious kwamba nataka kumuoa. Alinikatalia juu ya ombi langu hilo.
Kama kawaida wanaume sisi ni ving'ang'anizi niliendelea kumshawishi ukaribu ukazidi mpaka nikapewa tunda nikawa natafuna. Ni miezi tisa sasa nambandua na tunatoka out several times kula raha hata wiki nzima tunaweza jichimbia somewhere hasa anapokua likizo ( maana yeye ni mtumishi wa serikali).
Cha ajabu ni kuwa pamoja na yote tunayofanya bado hajakubali kuolewa na mimi.
Sijajua nafeli wapi mpaka sasa hivi maana amekataa kabisa pamoja na kuwa yeye mwenyewe anathibitisha kuwa nina uwezo wa kulea familia.
Mwanzoni niliwaza kwamba labda alinipenda ili atumie hela zangu tu lakini No sio mpenda pesa kiivyo maana hata baadhi ya gharama hutoa mwenyewe na huninunulia zawadi za thamani tu mpaka nashindwa kuelewa anataka nini.
Wadau na wajuzi wa mambo hebu nisaidieni anataka nini huyu kama kuolewa amekataa?
Ninafeli wapi mimi kumchukua huyu mtoto?
Umejaribu mbinu za kivita ikashindikana?weka mimba kwanzaMoja kwa moja kwenye mada..

We sio mume bora kwa mujibu wa ndoto zakeMoja kwa moja kwenye mada..

kweli kabisa mpe funzo