Last Week Nilikuwa Naongea Na Mzee Mmoja,aliwahi Kufanya Kazi Kwenye Ubalozi Fulani Hapa Nchini,kuna Ma Ofisa Fulani Pale Walikuwa Wanajishughulisha Na Biashara Ya Madawa Ya Kulevya Na Walifanikiwa Kumuingiza Kwenye Mtandao Wao Akawa Supplier,alifanya Biashara Hiyo Kwa Uoga Mkubwa Na Baada Ya Kunusurika Kukamatwa Mara Kadhaa,ilimbidi Ajitoe Mtandaoni Na Kuamua Kuacha Kazi Ili Kunusuru Maisha Yake.Leo Hii Ni Mlinzi( Security Guard) Kwenye Moja Ya Kampuni Jijini Mwanza,ni Mtu Wa Mwenye Masononeko Full Time,huwa Na Sikitika Sana Anapoomba Jero Kwa Mtu Anayeingia Pale Getini. Biashara Hii Imevuruga Maisha Ya Watu Wengi Mno Na Kwa Namna Tofauti Tofauti