Joram kiango Jr
Member
- Jul 9, 2016
- 62
- 16
2020 utagundua watz walivyo wapuuzi na wabinafsi.




Uzuri wake nitajie japo moja tuNajua hali hii haiwezi kuendelea mpaka huko 2020,pili hata ikiendelea watu watakua wameshajua namna ya kuishi nayo kwa hiyo aliyepo atachaguliwa tu.Sasa hivi Kilio ni kikubwa kwakua aliyepo ameleta mabadilko ambayo wengi hawakuzoea lkn ni mazuri.