amebanwa na mfumo kristo!Upuuzi ni hulka muhimu kwakila mwanadamu, lakini upumbavu ni ugonjwa tasa, EAMWS ilivunjika kutokana na mgogiro wao wa ndank katika ya makao makuu namikoani, Mgogoro ulitokana na "ufisadi" uliokithiri pale makao makuu ukiongozwa na mwenyekiti wa EAMWS taolifa Shehe Amir, Mwalimu Nyerere ama serikali yake hawakuhusika kwa lolote juu ya kifo cha EAMWS wala kuundwa kwa BAKWATA, Serikali ilichofanya nikupokea chombo kipya cha kuwasimamia waislamu tu Endeleeni kupoteza mda hapa kwaakulialia kila kukicha, Haya muislmu mwenzenu Mwinyi alifuata baada ya Nyerere, je alishindwa kuirejesha EAMWS? Muislmu mwingine Jakaya yupo madarakani, je amshindwa nini kutatua kelele zenu?
hapo thatha!Kafiri anawezaje kuunda chombo chenye maslah kwa Waislam?
maskini wa akili.BAKWATA ni chombo cha waislamu wote Tanzania wasioipenda ni maadui wa uislam.
===>Sina ushahidi na hili,labda kuna mali zozote ambazo mnzikumbuka kuwa zilikuwa za EAMWS zirudishwe kutoka srikalini?Bakwata iliundwa na mwalimu Nyerere baada ya kuivunja EAMWS ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni taasisi iliyokuwa imepiga hatua kubwa ktk uchumi,siasa na elimu Afr.mashariki.
tunaopata shida ndo tunajua!we huna lolote unalolijua juu ya bakwata bora ukae kimya usije ukakufuru,pia usizungumzie kitu ambacho huna elimu nacho,bakwata ni kama mtihani ambao allah ametupa ili atujue yupi muislamu wa kweli na yupi asije wa kweli,tahadhari usije ukawa kafir(kama bado)kama tayari kafir ni juu yako,hakuna kulazimishana katika dini.BAKWATA ni chombo cha waislamu wote Tanzania wasioipenda ni maadui wa uislam.
Kwauwelewa wangu, Bakwata nichombo kilochoundwa na Mkatoriki (Nyerere). kwakazi ya kuwasulubu Muslim of Tanzânia. Bakwata vilevile nitawi la CCM kwaupande wa kisiasa. Bakwata haiwezi kumkomboa Muislam wa TZ, kwakua viongozi waliopale ni mapandikizi ya Serkali ya CCM, niwatu wasie na Elimu ya sekula wenyewe wanajua kutiaudhu na kuswali tu, zaidi ya hapo ni maudi basi.
Nasubiri kuona hii thread itafungiwa saa ngapi, maana ikianzishwa mjadala unaohusu waislamu basi vidudu mtu lazma wachafue hewa ili waislamu wasipate wasaa wa kujadili yanayowahusu,,
maskini wa akili.
tunaopata shida ndo tunajua!we huna lolote unalolijua juu ya bakwata bora ukae kimya usije ukakufuru,pia usizungumzie kitu ambacho huna elimu nacho,bakwata ni kama mtihani ambao allah ametupa ili atujue yupi muislamu wa kweli na yupi asije wa kweli,tahadhari usije ukawa kafir(kama bado)kama tayari kafir ni juu yako,hakuna kulazimishana katika dini.
Sijui sana kuhusu bakwata........lakini kitendo cha kusema eid ni j5 wakati wengine wanaswali j4........sio vizuri.......
ushawatoa nishai,.....wanaona aibuNasubiri kuona hii thread itafungiwa saa ngapi, maana ikianzishwa mjadala unaohusu waislamu basi vidudu mtu lazma wachafue hewa ili waislamu wasipate wasaa wa kujadili yanayowahusu,,
Tatizo ni pale unaposoma histohisia ya Mohamed Said (kama rejea kuu) halafu unajiridhisha kuwa umesoma rejea mbambali.
Soma na references zingine.
BAKWATA ni ya waislam period.
Hatuwezi kuwazuia watu wanaojipa mamlaka ya kuamua eti Abdallah na Hamis sio waislam kwa vile tu wapo BAKWATA. Baraza kuu la waislam Tanzania, ni Chombo cha waislam. Hutaki unaacha!
ukithibisha vizuri mkuu hapo ndipo watu watamkubali sheikh pondaMkuu,Ushahidi upo tena mweupee. tuombe mungu, nipo kwenye kufanya upekuzi wa vitabu mbali mbali ili nikupe uupitie kwa faida yako na wengine.
Ushahidi upo eamws haikufa bali nyerere aliifuta akaanzisha bakwata na hoja yake ilikuwa finyu tu eti eamws inaongozwa na waarabu ndio akaanzisha bakwata inayoongozwa na mswahili
Kirefu cha eamws ni east africa muslim walfare society wakati bakwata ni baraza la kuua waislamu tanzania
BAKWATA ni chombo cha waislamu wote Tanzania wasioipenda ni maadui wa uislam.
Hawa wanaolia kuwa serikali iliwaundia Bakwata ndio hao hao leo wanaolilia serikali iwaundie mahakama ya kadhi
Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana,