Nina1.5k kwa anayeuza simu.

Ngosha255

JF-Expert Member
Mar 29, 2013
431
512
Nahitaji simu not more than 1.5k iwe android or window 4ne
Tuwasiliane via 07596908809
nipo Arusha.
 
Nahitaji simu not more than 1.5k iwe android or window 4ne
Tuwasiliane via 07596 908 809
nipo Arusha.

Mbona namba yako ya simu majanga?

ipo HUWAEI Ascend Y 300 unlocked 170,000/- mpya kwenye box
pia kuna I-phone 4s Mpya kabisa kwenye box lake sh. 810,000/-

Zipo Tanga town kama vipi nikuunge na jamaa,
 
kwa iphone 4s bei hiyo anapata mbili na kubakiwa 11000 ya kuweka sikilini purotekita. Bado inabaki tu.
 
Habari jema hiyo inapatikana wapi mkuu GOOGLE, ni-mp namba yako tufanye biashara!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom