Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,207
- 3,300
Hivi tukiungana wanaume 4 tukaanzisha kampuni ya ujenzi!, Yaani hapa lengo kuu sio kampuni ya ujenzi hapa lengo kuu ni kumiliki nyumba ya ndoto zetu!
Ukiwa na milioni 10 huwezi kujenga nyumba kali bali unaweza kujenga banda!, lakini ukiwa na kuanzia milioni 40 unaweza kujenga nyumba nzuri ya ndoto yako, sasa ni hivi mnaungana watu wanne mnafungua kampuni ya ujenzi kisha mnanunua kiwanja kimoja kwa jina la kampuni kisha kila mmoja anatoa milioni 10 mnajenga nyumba ya milioni 40 kwa jina la kampuni, kisha mkishamaliza mnaipangisha mnaendelea tena kwa mwaka mwingine mnanunua tena kiwanja kingine mnafanya kama mlivyofanya mwanzo!
Ndani ya miaka minne kampuni inakuwa na nyumba nne hapo ndio mnaanza kubadilisha mchakato wa kuhamisha majina ya nyumba kutoka kwenye kampuni hadi mtu binafsi!
Hapo lengo la kufungua kampuni ni kuepuka kutapeliana n.k
Uzuri wa mbinu hii ni kwamba mnaweza kujenga kwa urahisi sana sababu kwanza mnaweza kukopesheka bank na pili mnaweza kuwa madalali kufanya kazi za watu wengine na kuwa rahisi kujenga nyumba kali kwa pesa za watu wengine [emoji28]!
Karibuni Singida!