dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 9,864
- 16,734
hiiiiiiiiiiiiiiWazo naliuza kwa laki 200 na utalipa kabla sijaongea chochote
Samahani mkuu,Wazo naliuza kwa laki 200 na utalipa kabla sijaongea chochote 😂
Milioni 20! Ni Shilingi za kitanzania?Wazo naliuza kwa laki 200 na utalipa kabla sijaongea chochote 😂
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri
Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid sna Ni leseni yako tu itakuweka salama na mtaji wa angalau milion 3 na ukiwaa Zaid utapiga Zaid pesa
Biashara inafanywa na watu wasionna elimu kubwa San japo na nimechunguza nikabaini kahama na tabora utapiga peza za maana
Kama mtu Yuko interested aje dm tuyajenga
Kuna mwalimu mmoja nimempa hiyo dili Hadi leo ananishukuru Hadi anatamani kuacha Kaz ajikite Zaid kwenye biashara hyo
Niwaonye tu wazo la biashara hamuwezi kulipata humu kiarahisi rahisi na wafanya biashra wengi Ni wasiri sna usitegemee atakule gesha dili kiarahisirahisi
Hiv kwasababu gani watu wengi hupenda kuwakashifu watu straigjt namna hii mkuu?Asee matapeli mjini wengi Sana.
Laki 200Samahani mkuu,
Unamaanisha laki mia mbili..? Ama laki mbili..??
Utekelezaji bado, yuko kwenye wazo kwanza. Mengine yatafuatia. Step by step.Wazo bila utekelezaji ni sawa na ndoto tu
Aweke wazo watu walichambue, chini ya jua hakuna wazo jipyaUtekelezaji bado, yuko kwenye wazo kwanza. Mengine yatafuatia. Step by step.