Yani Fanya usisubirie kuambiwa na mtu. Kama kuna uwezekano wa kufanya chochote na una cash I mean capital fanya mara moja
Mhh mie ndo naona nisiseme kabisa aisee.humu ndani mie🙌Ushauri mzuri ila tunashindwa kushikana mikono kwasababu wengi wanakuwa sio wakweli.
Wazo zuri sana mkuu mimi nakushauri kwakua una simu na haikuingizii pesa bas iuze hiyo cm alafu pesa ifanyie mtaji and then baada ya miez kadhaaa utanunua maana pesa yko itakua imesharudi nakutakia kila la kheriWadau mambo vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono nitashukuru.
Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa naenda kwenye duka la jumla linalouza nguo, za kiume/ kike za jumla mi plan yangu ni kuchukua zile nguo za ndani za kiume (boxer) dozen zipo tatu ndani ambayo kwa moja wao wanauza 3000 na kwa bei ya jumla unachukua kwa 9000,
Nitachukua nitakazoona zinazonifaa harafu narudi mtaani kuwauzia wana kwa bei ya 5000 kila boxer moja mtaji ukikuwa naongeza na za kike kidogo nitakazoona wadada wanapenda.
Kwa mwenye mawazo anaweza akaongezea hapo.
Pia soma: Njia za kupata mtaji wa biashara
FactAm humbled..lol.
Mie sikufahamu kiukweli..ila nikuambie kitu...kabla hujataka kushikwa mkono jinyanyue ulipo...yaan pigana uwezavyo utoke hapo kwa jasho lako...atatokea mtu atakupush ....
Sidhan kama ni njema sana kusaidiwa kutoka ground wengi hatufanyi vizuri ..mara nyingi unajikuta unakuwa mzembe ukijua fulan nikimlilia atanisaidia ...anza popopte na ulichonacho...masuala ya pasaka we yatupilie mbali...all the best
50000 unataka mtaji......Fanya hiviiii, chukua simu yako tazama unamajina mangapii kwenye phone book, naamini majina uliyonayo ynazidi 50, so Fanya hiviiii.....andika message ukiomba wakuazime,kila mtu akutumie buku Tu, waambie unashida nayo katika maisha yako, wakikutumia hao 50, utakuwa umepata mtaji. Na ukiona wamechomoa kukupa buku,so nenda sehemu ya message imeandikwa delete name,kisha futa Jina lake,maana huyo jamaa hafai kuwa karibu nawee......nawaza tu, si unajua akili za kvant MDA huuu.......
Umeandika neno Zuri sana..50000 unataka mtaji......Fanya hiviiii, chukua simu yako tazama unamajina mangapii kwenye phone book, naamini majina uliyonayo ynazidi 50, so Fanya hiviiii.....andika message ukiomba wakuazime,kila mtu akutumie buku Tu, waambie unashida nayo katika maisha yako, wakikutumia hao 50, utakuwa umepata mtaji. Na ukiona wamechomoa kukupa buku,so nenda sehemu ya message imeandikwa delete name,kisha futa Jina lake,maana huyo jamaa hafai kuwa karibu nawee......nawaza tu, si unajua akili za kvant MDA huuu.......
Hongera kwa kusoma vzr mimi nilipitiwaSoma uzi wa mtu kwa makini uelewe ndio u-comment. Kasema hana hiyo starting capital.
Umenipm. Nduguuu........ngoja niangalieee uendaa ikawa mwaliko WA pasaka huuu....maana dunia ndogo hiii🥰🥰🥰
Umeandika neno Zuri sana..
bdw Mkuu majuzi kati nilikupm..
Kuna vitu kias nataka kupata ufafanuzi ..nisamehe kukusumbua..
Hahahaa huu mwaka hakuna raha..by jpm hayatiUmenipm. Nduguuu........ngoja niangalieee uendaa ikawa mwaliko WA pasaka huuu....maana dunia ndogo hiii
Sema ili tujifunze nassMhh mie ndo naona nisiseme kabisa aisee.humu ndani mie[emoji119]