Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,614
Hivi wafanyakazi wa Nacte wanafanya kazi kwa utaratibu waliojiwekea au kuna chombo kingine juu yao?
Watoto / wanafunzi wanafanya application, hawapati majibu na hakuna pa kuuliza ni kwa nini sijapata majibu.
Wanafunzi waliosajiriwa wanakosa namba za mtihani na pengine kuzipata ni kwa kuangaishana sana.
Hivi wanafanya kazi kwa msingi ipi? Ni watanzania wangapi wamelipa hela mtandaoni pasipo kuchaguliwa na pasipo kujibiwa?
Kama wewe ni mmoja wa waathirika wa tatizo hili, jitokeze tujadili kwa kina. Labda tukiwasema hapa watajirekebisha.