God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
nilikua na simu ya xperia z3 clone/feki nkadowload app ya cpu z ikanisomea specification sawasawa na zile za gsm arena yan kila kitu okay.
simu ilianza kunipa wasiwasi kwa camera yake mbovu kumbuka ni20.7mp sasa picha zinakuja kama 2mp. na internal memory inadanganya inasema 8gb nkihamisha data za2gb inajaa hata app nikiweka kama 6 inasema low space.
nikaja nikadhibitisha na njia ya TCRA inanletea jina shenzen hongkong so nkaami ni fake japo naamini ni mchina imara. so jaman msiamini sana hizo app. hayo tuu.
cc chief mkwawa