Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,554
- 4,171
Sorry hiyo mtk unaisomea wapi? Maana hapo siioni....Sasa boss huoni mtk hiyo ? Pole sana kaka
Sorry hiyo mtk unaisomea wapi? Maana hapo siioni....Sasa boss huoni mtk hiyo ? Pole sana kaka
Page ya kwanza ile mediatek ndo wanatumia mtk..Sorry hiyo mtk unaisomea wapi? Maana hapo siioni....
Sorry hiyo mtk unaisomea wapi? Maana hapo siioni....
Yangu iko njemaangalia hapa kwa makini, ukishaona hivi kwenye simu za High-End basi ujue ni fake. ingawa kuna sony original zenye mediatek kama vile E3 lakini sio Z series
View attachment 331243
Yangu iko njema
Imeandikwa wapi apo?Sasa boss huoni mtk hiyo ? Pole sana kaka
imei kwa uzoefu wangu siyo kipimo cha simu imara ama simu ya kiwango cha juu ni mfumo tu wa utambuzi wa simu zilizopitia mfumo maalaumu wa utambuzinilikua na simu ya xperia z3 clone/feki nkadowload app ya cpu z ikanisomea specification sawasawa na zile za gsm arena yan kila kitu okay.
simu ilianza kunipa wasiwasi kwa camera yake mbovu kumbuka ni20.7mp sasa picha zinakuja kama 2mp. na internal memory inadanganya inasema 8gb nkihamisha data za2gb inajaa hata app nikiweka kama 6 inasema low space.
nikaja nikadhibitisha na njia ya TCRA inanletea jina shenzen hongkong so nkaami ni fake japo naamini ni mchina imara. so jaman msiamini sana hizo app. hayo tuu.
cc chief mkwawa
CPU z ipo mzuka kabisa Shida huwezi kuitumia ungesema tu unaomba msaada jinsi ya kutambua simu yako kuliko kuiponda App wakati ishakuambia kabisa kifaa Ni MTK ( Fekelo) wakati Z3 Ni Qualcomm Snapdragon 801nilikua na simu ya xperia z3 clone/feki nkadowload app ya cpu z ikanisomea specification sawasawa na zile za gsm arena yan kila kitu okay.
simu ilianza kunipa wasiwasi kwa camera yake mbovu kumbuka ni20.7mp sasa picha zinakuja kama 2mp. na internal memory inadanganya inasema 8gb nkihamisha data za2gb inajaa hata app nikiweka kama 6 inasema low space.
nikaja nikadhibitisha na njia ya TCRA inanletea jina shenzen hongkong so nkaami ni fake japo naamini ni mchina imara. so jaman msiamini sana hizo app. hayo tuu.
cc chief mkwawa
Jambo la msingi mimi hutumia kujiridhisha ni hapo kwenye chipset.. Hakuna Xperia z3 inayotumia chipset ya mediatek