Nina wasiwasi mpenzi wangu mshirikina

Ni zaidi ya miezi nane sasa nipo kwenye mahusiano na mpenzi wangu ambapo kitabia sina mashaka nae ingawa ni ngumu kumuamini mtoto wa kike kwa asilimia 100% sababu wametawaliwa na tamaa ila mwenendo wake haunipi mashaka sababu mambo mengi huwa ananiweka wazi hivyo hanipi mashaka.

Tatizo linakuja kwamba tangu nimeanza mahusiano na huyu binti sijawahi kuliona tumbo lake sababu hata nikiwa nasex nae huwa anajifunika sehemu ya tumboni na nikimuuliza kwanini hapendi nione tumbo lake ananiambia kwamba kuna dawa amechanjwa na wazazi wake hivyo endapo nitafanikiwa kuona hizo chale ambazo amechanjwa basi nitapata matatizo.

Hali hii imekua ikinitisha kwakweli mpaka kuna wakati nawaza kwamba niachane nae mana nashindwa kujua ataendelea kunificha hivi mpaka lini na nahisi kama anapata tabu mana kila tukikutana lazima ajifunike kama sio na kanga basi taulo.

Kuna mdau yeyote humu amewahi kukutana na hali kama ninayokutana nayo mimi ?

Naombeni ushauri wadau mana nipo njia panda ingawa nampenda huyu binti
Mhhh! au ana mshono anaogopa ukiuona
 
Nyerere hakukosea kufanya Ujinga kuwa adui wa taifa.

Wewe na huyo mpenzi wako inabidi mrudi shule mjifunze logic.

Akili yako ni empty, hakuna kitu kichwani
 
Hujataka tu kujua ?,
Yaan ata kwenye ile purukushan humshik kiuno?, hujawah sogeze vidole upapase na hilo tumbo?...
 
nadhani anakuficha huyo, ana mtoto na anaficha kovu la operation.
Duh, kama ni mshoni, sa ataficha hadi lini. Nahisi itakuwa ni zaidi ya hilo, labda aliwahi kuungua na moto so hapendi mtu apaone na kama akipaona basi anahofia atamuacha
 
Tafuta moja ya ndugu zake wa kike aliye na ukaribu, muelezee hali hii, anaweza kuwa na msaada kwako
 
Ata

kuwa wa jijini huyu............! just joking. Huenda akawa na kovu la operation kama wengine wanavyosema au kovu lilitotokana na jeraha lolote na hapendi ulione. Kuna mmoja alikuwa anashida kwenye maziwa na siku zote alikuwa analala na sindiria,siku alipovuliwa baada ya kulegea ndo likaonekana
na yeye apige mzigo vizuri manzi atalegea then amfunue tumbo mamba hadharani
 
Atakuwa na kitambi cha bia za kuhongwa...

Maana midemu ya siku hizi inakunywa bia utadhani redieta ya Fiat...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom