Nina wasiwasi mkulu kupitiliza miaka 10

Nina wasiwasi mkulu kupitiliza miaka 10

Niliuliza hapa
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020,

1. Kwa Kazi Hii Nzuri Anayofanya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Hivi Kweli Tanzania, Tuna Haja tena ya Kufanya Uchaguzi Wa Rais kwa mwaka 2020?.

2. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension ya kutosha kuinyoosha Tanzania?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!.

9. Na jee ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mefu kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado watahitaji kweli kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?!, kutakuwa ni kugombea au kujifuahisha tuu?!, au hata ikitokea ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Pasco
Unaamini na kuwa na uhakika kuwa Magufuli Ana uwezo mkubwa Sana kuzidi watanzania zaidi ya milioni 40 anao waongoza kwa haya anayoyafanya mpaka katiba iweze kubadilishwa kwa ajili yake?,
 
Nenda zako fungua thread yako basi,,,,, vijana wa Lumumba bhana
 
kujipa kibabe kigoda baada ya kumaliza nusu halali ya kwanza,na kung'ang'ania kigoda baada ya kumaliza nusu ya pili

Tanzania ni nchi ya demokrasia katika kuachiana madaraka endapo muda wa kuongoza kikatiba utakuwa umeisha, haya wasiwasi wako unatoka wapi??!!!
 
acha kiherehere Rais hana tabia za mfalme Mbowe muda wake ni miaka kumi tuu.
 
Kwenye kigoda, chief wa nyumba anatakiwa akae kigodani miaka kenda jumlisha moja kwa mgawanyo wa nusu nusu kwa ngoma maalumu inayochezwa na wajuzi walioteuliwa na miji yao.

Sasa huyu chief mkulu naona kakaa kaa kishari shari, king'ang'anizi kupitiliza. Nusu ya kwanza nahisi atang'ang'ania kibabe. Nusu ya pili nahisi kama atapitilizaa vile.

Je mtihani huu ata u-solve nani, wajuzi na waamuzi wa sheria? Walinzi wabeba bunduki wa milango watamchomoa kwa nguvu au siafu watakaopanga misururu kuandamana kumtoa kigodani?

View attachment 408031
Amekosa brake??
 
Niliuliza hapa
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020,

1. Kwa Kazi Hii Nzuri Anayofanya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Hivi Kweli Tanzania, Tuna Haja tena ya Kufanya Uchaguzi Wa Rais kwa mwaka 2020?.

2. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension ya kutosha kuinyoosha Tanzania?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!.

9. Na jee ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mefu kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado watahitaji kweli kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?!, kutakuwa ni kugombea au kujifuahisha tuu?!, au hata ikitokea ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Pasco
Haya mawazo mengine mufilisi kabisa, hivi waliotangulia wangekuja na wazo kama lako leo tungekuwa na huyu rais tuliyenaye? Tusitake kuleta mawazo ya hovyo tukaiangamiza nchi. Miaka kumi inatosha rais kuongoza ili awapishe na wengine na siku zote ajaye huonekana bora kuliko aliyetoka
 
Sitamani hata kuishi nchi hii inayoongozwa na baba jesca, basi tuu sina uwezo wa kuhamia hata sudani.
 
Amekosa brake??
nahisi kama zimefyatuka..kuna kigongo kama kigingi (katiba?) lakini mkulu atatia gia namba 4 maana yowe na miluzi ya washangiliaji linampa mzuka na hamasa iliyopitiliza
 
Kwenye kigoda, chief wa nyumba anatakiwa akae kigodani miaka kenda jumlisha moja kwa mgawanyo wa nusu nusu kwa ngoma maalumu inayochezwa na wajuzi walioteuliwa na miji yao.

Sasa huyu chief mkulu naona kakaa kaa kishari shari, king'ang'anizi kupitiliza. Nusu ya kwanza nahisi atang'ang'ania kibabe. Nusu ya pili nahisi kama atapitilizaa vile.

Je mtihani huu ata u-solve nani, wajuzi na waamuzi wa sheria? Walinzi wabeba bunduki wa milango watamchomoa kwa nguvu au siafu watakaopanga misururu kuandamana kumtoa kigodani?

View attachment 408031
Usiwe na wasiwasi, watu tunaombea angalau akae kwa makumi mawili na kama ana nguvu hata Matatu. Museveni yupo, Mugabe yupo, kama tunampenda, why not.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Pasco
 
Pasco bwana kuna wakati anaandika article nzuri na unaweza kupigia mistari yote.Yaani huwa imejaa points.Lakini akiamka amepitia wapi huko sijui utashangaa! Anaandika vitu Vya ajabu sana.

Binafsi nafanya maombi sana Nchi yetu isiingie kwenye kufilisika. Asilimia 90 ya watanzania hivi sasa ni masikini.ufukara huu ni wakusababishiwa. Kuna haja gani kuwa na kiongozi anae wasababishia umasikini?

Hakuna mfanyakazi wa umma Mwenye furaha. Wote wamepoteza amani, hawana tena matumaini ya kupata mafanikio kupitia ajira zao.

Ajira kwa vijana hazipo tena! Wala hakuna matarajio kuwa wataajiriwa hivi karibini. Kwa walio na ajira hakuna kupanda madaraja wala nyongeza ya mishahara.

Dawa hospitalini zimeadimika. Matibabu Ni ghali sana.Kwa wasio na bima ya Afya wanajuta wakiugua.

Ubunifu serikalini umekufa, wanamsubiri yeye aelekeze kila kitu. Uhakiki Wa wafanyakazi lakitano tu umechukua miezi 6! Kila siku wanaongeza tarakimu za uongo tu eti wafanyakazi hewa 12,000 . Walijiajiri wenyewe? Mbona waliosababisha hawatajwi? Naomba Mungu bora arudi Kikwete hata kesho. Mungu turudishie kikwete ufukara huu upungue.
Hivi kwa nini jf hawana kitufe cha UNLIKE???
Maxence Melo.
 
Trump style, kukataa matokeo kabla hata ya uchaguzi. Hizo predictions si zitajulikana huko huko tunakoenda tuombe uzima.
 
Tunamuuomba MUNGU ampumzishe kabla ya 2020,hili taifa ni la MUNGU lazima liendeshe katika misingi ya kiMUNGU na sio kishetani,yeye hawezi kusimamia haki hivyo yuko mbali na MUNGU..
 
Mimi nafikiri "mtukufu" angebadili katiba tu na kuigeuza nchi hii kuwa ya kifalme ili atawale milele kwa sababu he is the closest human being to God, waimbaji wa nyimbo za kumsifu na kumtukuza mfalme wanasema huwa hakosei na yeye anasema huwa hajaribiwi.
 
Kwani yeye na PK Wa Rwanda Si ndege Wa aina moja!? Basi lazima wafanane.
 
Kwenye kigoda, chief wa nyumba anatakiwa akae kigodani miaka kenda jumlisha moja kwa mgawanyo wa nusu nusu kwa ngoma maalumu inayochezwa na wajuzi walioteuliwa na miji yao.

Sasa huyu chief mkulu naona kakaa kaa kishari shari, king'ang'anizi kupitiliza. Nusu ya kwanza nahisi atang'ang'ania kibabe. Nusu ya pili nahisi kama atapitilizaa vile.

Je mtihani huu ata u-solve nani, wajuzi na waamuzi wa sheria? Walinzi wabeba bunduki wa milango watamchomoa kwa nguvu au siafu watakaopanga misururu kuandamana kumtoa kigodani?

View attachment 408031
Hapo unajipendekeza kwa kuvunja katiba kumbuka swala la uchaguzi alihitaji mzaha kama mambo mengine yanavyo fanyika sasa kumbuka DRC mambo yalivyo sasa. Nakukumbusha nchi yetu si Burundi wala uganda usilete mada za maudhi kwa kutafuta Kiki ya kujulikana kwa unaojipendekeza ukitarajia ZARI la MENTALI litakuangukia kama jamaa wa clouds nonino. Madhara ya hiyo kitu unayopendekeza ni mabaya sana kumbuka nchini Ivory Coast matatizo yaliyomkuta BAGBO na mkewe kwa kung'olewa mjengoni kibabe
 
Siku nyingine uwe unasoma kwa makini kisha uelewe.Ingekuwa swali la ufahamu kwenye mtihani ungekuwa umeshafeli mkuu
 
Pasco bwana kuna wakati anaandika article nzuri na unaweza kupigia mistari yote.Yaani huwa imejaa points.Lakini akiamka amepitia wapi huko sijui utashangaa! Anaandika vitu Vya ajabu sana.

Binafsi nafanya maombi sana Nchi yetu isiingie kwenye kufilisika. Asilimia 90 ya watanzania hivi sasa ni masikini.ufukara huu ni wakusababishiwa. Kuna haja gani kuwa na kiongozi anae wasababishia umasikini?

Hakuna mfanyakazi wa umma Mwenye furaha. Wote wamepoteza amani, hawana tena matumaini ya kupata mafanikio kupitia ajira zao.

Ajira kwa vijana hazipo tena! Wala hakuna matarajio kuwa wataajiriwa hivi karibini. Kwa walio na ajira hakuna kupanda madaraja wala nyongeza ya mishahara.

Dawa hospitalini zimeadimika. Matibabu Ni ghali sana.Kwa wasio na bima ya Afya wanajuta wakiugua.

Ubunifu serikalini umekufa, wanamsubiri yeye aelekeze kila kitu. Uhakiki Wa wafanyakazi lakitano tu umechukua miezi 6! Kila siku wanaongeza tarakimu za uongo tu eti wafanyakazi hewa 12,000 . Walijiajiri wenyewe? Mbona waliosababisha hawatajwi? Naomba Mungu bora arudi Kikwete hata kesho. Mungu turudishie kikwete ufukara huu upungue.
Mkuu Jerusalemu, hukuona kila point yangu ni swali? .
Paskali
 
Back
Top Bottom