Nina wasiwasi mkulu kupitiliza miaka 10

Nina wasiwasi mkulu kupitiliza miaka 10

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
9,332
Reaction score
18,412
Kwenye kigoda, chief wa nyumba anatakiwa akae kigodani miaka kenda jumlisha moja kwa mgawanyo wa nusu nusu kwa ngoma maalumu inayochezwa na wajuzi walioteuliwa na miji yao.

Sasa huyu chief mkulu naona kakaa kaa kishari shari, king'ang'anizi kupitiliza. Nusu ya kwanza nahisi atang'ang'ania kibabe. Nusu ya pili nahisi kama atapitilizaa vile.

Je mtihani huu ata u-solve nani, wajuzi na waamuzi wa sheria? Walinzi wabeba bunduki wa milango watamchomoa kwa nguvu au siafu watakaopanga misururu kuandamana kumtoa kigodani?

Dec-28-15-JPM-What-Road-Map.jpg
 
Kwenye kigoda, chief wa nyumba anatakiwa akae kigodani miaka kenda jumlisha moja kwa mgawanyo wa nusu nusu kwa ngoma maalumu inayochezwa na wajuzi walioteuliwa na miji yao.
Sasa huyu chief mkulu naona kakaa kaa kishari shari,king'ang'anizi kupitiliza.Nusu ya kwanza nahisi atang'ang'ania kibabe.Nusu ya pili nahisi kama atapitilizaa vile.
Je mtihani huu ata u-solve nani..wajuzi na waamuzi wa sheria? walinzi wabeba bunduki wa milango watamchomoa kwa nguvu au siafu watakaopanga misururu kuandamana kumtoa kigodani?

View attachment 408031

Niliuliza hapa
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020,

1. Kwa Kazi Hii Nzuri Anayofanya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Hivi Kweli Tanzania, Tuna Haja tena ya Kufanya Uchaguzi Wa Rais kwa mwaka 2020?.

2. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension ya kutosha kuinyoosha Tanzania?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!.

9. Na jee ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mefu kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado watahitaji kweli kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?!, kutakuwa ni kugombea au kujifuahisha tuu?!, au hata ikitokea ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Pasco
 
Pasco bwana kuna wakati anaandika article nzuri na unaweza kupigia mistari yote.Yaani huwa imejaa points.Lakini akiamka amepitia wapi huko sijui utashangaa! Anaandika vitu Vya ajabu sana.

Binafsi nafanya maombi sana Nchi yetu isiingie kwenye kufilisika. Asilimia 90 ya watanzania hivi sasa ni masikini.ufukara huu ni wakusababishiwa. Kuna haja gani kuwa na kiongozi anae wasababishia umasikini?

Hakuna mfanyakazi wa umma Mwenye furaha. Wote wamepoteza amani, hawana tena matumaini ya kupata mafanikio kupitia ajira zao.

Ajira kwa vijana hazipo tena! Wala hakuna matarajio kuwa wataajiriwa hivi karibini. Kwa walio na ajira hakuna kupanda madaraja wala nyongeza ya mishahara.

Dawa hospitalini zimeadimika. Matibabu Ni ghali sana.Kwa wasio na bima ya Afya wanajuta wakiugua.

Ubunifu serikalini umekufa, wanamsubiri yeye aelekeze kila kitu. Uhakiki Wa wafanyakazi lakitano tu umechukua miezi 6! Kila siku wanaongeza tarakimu za uongo tu eti wafanyakazi hewa 12,000 . Walijiajiri wenyewe? Mbona waliosababisha hawatajwi? Naomba Mungu bora arudi Kikwete hata kesho. Mungu turudishie kikwete ufukara huu upungue.
 
Katiba imendikwa na watu si Mungu, msahafu wa Mungu ndio huwezi kuubadilisha.

So ikionekana anakidhi vigezo na matarajio ya Watanzania walio wengi na wakaamua kubadilisha katiba kumuongezea muda wake kwani kuna tatizo au dhambi yeyote?

Maana utakuwa ujuha wa kufuata eti katiba tu na pengine umagharibi mkamuondoa kiongozi mzuri na wa msaada kwenu na mkangiza kiongozi dumuzi wa kubangua raslamali za nchi kwa faida yake na wanaomzunguka.

Ngoja tuone nini Rais atafanyia nchi hii halafu tutafanya maamuzi huko mbele ya safari.
 
Niliuliza hapa
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020,

1. Kwa Kazi Hii Nzuri Anayofanya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Hivi Kweli Tanzania, Tuna Haja tena ya Kufanya Uchaguzi Wa Rais kwa mwaka 2020?.

2. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension ya kutosha kuinyoosha Tanzania?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!.

9. Na jee ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mefu kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado watahitaji kweli kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?!, kutakuwa ni kugombea au kujifuahisha tuu?!, au hata ikitokea ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Pasco
Daa nimesikitika Sana Na maoni yako tena mwandishi mahili kabisa.mahaba haya!
 
Kwenye kigoda, chief wa nyumba anatakiwa akae kigodani miaka kenda jumlisha moja kwa mgawanyo wa nusu nusu kwa ngoma maalumu inayochezwa na wajuzi walioteuliwa na miji yao.
Sasa huyu chief mkulu naona kakaa kaa kishari shari,king'ang'anizi kupitiliza.Nusu ya kwanza nahisi atang'ang'ania kibabe.Nusu ya pili nahisi kama atapitilizaa vile.
Je mtihani huu ata u-solve nani..wajuzi na waamuzi wa sheria? walinzi wabeba bunduki wa milango watamchomoa kwa nguvu au siafu watakaopanga misururu kuandamana kumtoa kigodani?

View attachment 408031

Wasiwasi wako unatokana na nin?
 
Niliuliza hapa
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020 ...
Kwa Kasi Hii ya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na Falsafa yake ya "Hapa Kazi Tuu", na kama hiki tunachokiona sio nguvu ya soda tuu, yaani ataendelea kwa kasi hii hii hadi 2020,

1. Kwa Kazi Hii Nzuri Anayofanya Rais Wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Hivi Kweli Tanzania, Tuna Haja tena ya Kufanya Uchaguzi Wa Rais kwa mwaka 2020?.

2. Hatuwezi kufanya uchaguzi wa wabunge tuu na madiwani, na badala yake , ili kuokoa pesa, mali na muda?, na Magufuli apewe tuu a walkover ya kuendelea hadi 2025?!.

3. Au kwa vile Uchaguzi wa Rais ni takwa la kikatiba, hivyo uchaguzi huo lazima tuu ufanyike hata kama ni wastage of time, money and resources?!.

4. Na hiyo 2025 tukimuona bado anaweza, na anatufaa, kuna ubaya kuibadili katiba yetu tumpatie extension ya kutosha kuinyoosha Tanzania?!.

5. Kwani katiba ni nini?,si ni kipande tuu cha karatasi?!, nini muhimu kati ya kipande cha karatasi na umuhimu wa Magufuli kwa taifa?!.

6. Na Katiba ni ya nani?!, ni yetu?!, na iko kwa manufaa ya nani?!, si ipo kwa manufaa yetu?!, hivyo sisi ndio muhimu kuliko katiba, tukimtaka Magufuli, si tunaweza kuiweka tuu katiba pembeni?!.

7. Sasa kama Magufuli anatufaa sana, na katiba haitamruhusu kuendelea baada ya 2025, kuna ubaya gani kuibadili katiba kwa manufaa yetu?!,

8. Au kwani Katiba ni Msahafu kusema haiwezi kubadilishwa?!.

9. Na jee ubaya wowote wapinzani wa Tanzania mkiamua kwa kauli moja msisimamishe tena mgombea urais, na badala yake CCM ndio iwe inatoa rais siku zote kufuatia long eksipirience ya uzoefu wa muda mefu kwenye urais?.

10. Na kufuatia somo la urais wa Zanzibar, na kilichofanyika kwenye urais wa JMT, kweli wapinzani makini bado watahitaji kweli kusimamisha mgombea kushindana na Magufuli?!, kutakuwa ni kugombea au kujifuahisha tuu?!, au hata ikitokea ameshinda atatangazwa?!.

Hayo ni maswali tuu nimeanza kujiuliza aloud?!.

Jee wewe una maoni gani kuhusu hoja zangu hizi?!.

Pasco
KAlale Pasco...................
 
Kwenye kigoda, chief wa nyumba anatakiwa akae kigodani miaka kenda jumlisha moja kwa mgawanyo wa nusu nusu kwa ngoma maalumu inayochezwa na wajuzi walioteuliwa na miji yao.

Sasa huyu chief mkulu naona kakaa kaa kishari shari, king'ang'anizi kupitiliza. Nusu ya kwanza nahisi atang'ang'ania kibabe. Nusu ya pili nahisi kama atapitilizaa vile.

Je mtihani huu ata u-solve nani, wajuzi na waamuzi wa sheria? Walinzi wabeba bunduki wa milango watamchomoa kwa nguvu au siafu watakaopanga misururu kuandamana kumtoa kigodani?

View attachment 408031
Una Lengo Gani Katika Hili andiko lako la kichochezi?????
 
Back
Top Bottom