Nina visa ya kufa mtu...

Nina visa ya kufa mtu...

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Hili neno lilikua likinitatiza kwa mda mrefu...ni neno nalisikia sana hapa ofisini kutoka kwa vijana wadogo wenye ndoa, lakini sikuwai kujua wanamaanisha nini mpaka leo asubui hii niliposikia kijana mmoja hapa ofisini akimwambia mwenzake.....aah aisee jana VISA yangu ili expire mapema sana.....ila nilifanya makarateka nikamtoka tena......
Nikasogea nakutaka kuujua ukweli ingawa sikuuliza moja kwa moja ili nisionekane ---- (Mshamba) ..ndio nikagundua eti VISA wanayoiongelea ni ruhusa kutoka kwa mke wake..ehehehhe...du! nilichoka na nimecheka sana.

Sasa..hii ni hatari sana, ndoa za siku hizi vijana wanaishi kama wako boarding school...kila kitu lazima upate gate-pass, au utoroke. Sababu ni kutokuaminiana...pia vijana hawataki kukua....pia wanataka kuishi maisha ya starehe ,hawataki kubadilika.

Dada zangu kwa kweli mnafanya kazi kubwa sana kujaribu kuwabadilisha hawa waume zenu wa kisasa......Mimi nakumbuka jando nilifundishwa na babu yangu...mke wako akikuita au ukimuona anataka kuwa karibu na wewe saa yoyote ujue ana GENYE....na ndio wakati mzuri wa kumshung'ulikia akakojoa vizuri..(kufika mshindo)
Akaniambia...mke wako ukimtia vizuri ukamkojoza.....hawezi kukusumbua kabisa.

Nimegundua kwamba wanawake wanajitahidi kuonyesha dalili zote kuwa wana GENYE ila wameishia kupata maudhi kwa waume zao ambao wanaabudu company ya washkaji kwenye mabaa....na mipira ya ulaya.

Simaanishi wote.... ila wachache hao wajiangalie ili kuepusha matatizo kwenye ndoa zao......usijione mjanja umemtoroka mkewako.....ukaenda kukaa baa na washkaji....au unamdanganya mke wako alafu ruhusa unaiita VISA.

Kama utaendelea kutafuta VISA ya kumtoroka mke wako......basi akipigwa MBUPU nje usimlaumu mtu au usikimbilie JF kuomba ushauri.
JARIBU KUMKAZA MKE WAKO VIZURI AKAKOJOA UONE KAMA UTAOMBA VISA,, yeye mwenye atakua anakuruhusu.
 
Thread za kitoto hizi, nani amekudanganya siku hizi Wanawake wana nyege kama mahitaji ya nyumbani na ya kwake hayapo Okey?
 
Mambo ya "Hall Pass" the movie...
 
Mbona sijaiona hiyo VISA ya kufa mtu uliyonayo?
 
Thread za kitoto hizi, nani amekudanganya siku hizi Wanawake wana nyege kama mahitaji ya nyumbani na ya kwake hayapo Okey?

Mpe kila kitu alafu usimkaze vizuri uone.....kwani umesikia kwao kakosa msosi.....vijana mnajindanganya sana siku hizi....eti nikimpa gari, pesa na nyumba nzuri inatosha....kaazi kweli kweli.
 
Mpe kila kitu alafu usimkaze vizuri uone.....kwani umesikia kwao kakosa msosi.....vijana mnajindanganya sana siku hizi....eti nikimpa gari, pesa na nyumba nzuri inatosha....kaazi kweli kweli.
Wewe njoo na njaa zako halafu utake kumpanda tu Mwanamke utaipata habari yako, yani wewe kwa akili zako unadhani watu wanaoana kwa ajili ya ngono tu!? Poor you.
 
Wewe njoo na njaa zako halafu utake kumpanda tu Mwanamke utaipata habari yako, yani wewe kwa akili zako unadhani watu wanaoana kwa ajili ya ngono tu!? Poor you.

Usitake kujifanya hujaelewa kitu hapa......unajaribu kupotosha ukweli kwa kuleta point zisizokuwa na mashiko....nani hapa JF analala njaa....labda wewe mwenyewe.......Kwa mtazamo wako unaonyesha ni mvivu wa kutumia akili.
 
Childish topic.
 
utakavyo iita watu8 , hapa tunajaribu kukumbashana tu..kama wewe haikuhusu piga kimya....au?

Hujajua nilichoandika mkuu...najaribu kukusupport by refering the movie.
Story yake inakaribia kushahabiana na ulichokiandika...umenipata???
 
Hujajua nilichoandika mkuu...najaribu kukusupport by refering the movie.
Story yake inakaribia kushahabiana na ulichokiandika...umenipata???

Hebu njoo twende zetu beach leo........kuna joto sana.....
 
Back
Top Bottom