Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,361
huko mtandaoni unatizama nini kwani
Majibu yote unayo wewe mwenyewe, vipi ukipimwa na ukagundurika una maralia utachukua hatua gani?
Mi mb 250 kwa siku simalizi
😁😂🤣khaaa ila we jamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
hizo video unatazama zinamsada gani kwenye kuongeza kipato chako?Mara nyingi niko Youtube, Fb, kutazama video twitter,
View attachment 2868839
mfano hapo nimeunga mchana
pamoja na kudhibiti baadhi ya app lakini wap
mimi natumia MB 350 kwa wiki na haziishi zinaexpire.Mi mb 250 kwa siku simalizi
hizo video unatazama zinamsada gani kwenye kuongeza kipato chako?
mimi natumia MB 350 kwa wiki na haziishi zinaexpire.
Maamuzi ni kiswaswadu
na unatumia bundle kucheck porns