Naamini kila mtu yupo salama kabisa.
Anaetaka Ku-unlock Blackberry iliyokuwa locked kwa mitandao ya ulaya anipigie kwenye 0784262953, tutaongea namna ya kukufungulia.
Jamaa yangu fafanua kidogo yaani B/B yako unaweza ingiza ofa ya Cheka Voda au Extreme 450/ km cm zingine?
Ninaweza kuifungua ikawa inakubali line za mitandao yote, just in case BB yako imefungwa kwa mtandao mmoja.
Ila hata hivyo, siku hizi kuna bundle ya sh. 1000 kwa siku ambayo inaweza kupunguza makali kidogo, japo ni more expensive on the other way around (1000 X siku 30 =30,000) ukilinganisha na kulipa kawaida ambayo 17,500 tu.
we tupia hapa mautundu mkuu.. Utalipwa kwa post yako kuwekwa STICKY! overNaamini kila mtu yupo salama kabisa.