Nina TV, na dstv natafuta partner

Nina TV, na dstv natafuta partner

Webb

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
425
Reaction score
884
Wakuu Mimi nina Samsung flat Inch32 na nna ela ya kununua dstv decoder pamoja na kutengeneza mabenchi.

Tatizo kubwa sina sehemu ya kufanya biashara hii. Mimi nipo dar, natafuta mtu ambaye anasehemu iliochangamka ambayo anajua tutafanya biashara vizuri.

Uwe na sehemu ya kwako au upange sehemu isiokuwa na gharama ili mimi na wewe tufanye biashara yenye faida
 
nami natafuta wakuungana nae tatizo eneo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom