nunua camera digital laki ya laki 3 then nunua mashine ya ku'print passport size dakika 3 ya sh. laki 4 then tafuta place nzuri (junction) like karibu na maofisi ya serikali, mabenki, mahakama vyuo n.k fungua kibanda chako upige picha za passport za dakika 3, itakulipa fasta... ila kumbuka kurudi shule!