ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza,mtu mwenye smartphone inayotumia Os ya android aniambie au hata Nokia symbian s60 anijuze maana napata shida hata kuingia Jf

Njooo. Uchukue blackberry 8520 chap,nPM tuuuu mtaa n Tz
hiyo ni smartphone?
Bure??!!kamata TECNO N3, line mbili ina memory ya 8gb, whtup,fb,instgrm,viber,youtube etc 0766988326
Bure??!!
ukitaka vya bure nawe wakikuomba O utoe bure perege ww