Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

Muhongo akitoa shutuma kali kwa Godwin Gwilimi, Mwanasheria wa Tanesco kuwa hakutumwa na Tanesco kwenda Malaysia.

Barua kama ushahidi wa kutumwa kwake: MTWARA KUMEKUCHA: SINEMA YA ESCROW INAENDELEA...............

Sikiliza kuanzia 1:15:05

On the other hand, Mr. Mbowe said ex-Tanesco chief legal counsel Godwin Ngwilimi was sent by the government to Malaysia to conduct due diligence on PAP refuting Energy Minister Prof. Sospeter Muhongo earlier statement that Mr. Ngwilimi acted and designed on his own accord.

From:
http://www.pesatimes.co.tz/news/governance/just-in--mps-debate-on-escrow/

Kama bado kuna PIMBI haelewi basi sijui tumsaidie vipi.
 
Last edited by a moderator:
Muhongo anasema "hakutumwa na Tanesco kwenda Malaysia." Hiyo ndiyo habari yenyewe. Haya ya kufukuzwa ni ya Werema na yanajulikana. Muhongo alitamba bungeni kuwa jamaa hakutumwa na ilitakiwa wamshtaki. Ndipo Mbowe akaja kumtetea kuwa huyu jamaa alisafiri kwa baraka zote za TANESCO. Sasa Kichwa maji huelewi nini?

Again, hapa hatuzungumzii ya WEREMA ingawa na yeye ni walewale. Wote walikuwa timu moja.

Soma jinsi Godwin alivyolalamika baada ya tuhuma za Muhongo:

10898091_840082836030071_6928053418370869213_n.jpg
Godwin Ngwilimi, ​
November 27, 2014
·​

Yah: Escrow Account tuhuma za Muhongo dhidi yangu
Habarini za mchana! Kwa kawaida na silka yangu, mimi sio mtu ninaependa ugomvi hasa ule usio wa lazima. Lakini, pia, sipendi kuonewa; na katika suala ambalo ni la wazi, nitasimama katika kanuni kupigania iliyo haki yangu.
Si nia yangu kutoa utetezi wangu hapa, au kujibizana na mtu mjinga, pumbavu na mufilisi, lakini nadhani ni vema niseme tu kifuatacho:
Sospita Muhongo ni muongo, mjinga, mtu mwenye dharau na asiyestahili kurudishiwa heshima hata kidogo. Mambo aliyoyasema dhidi yangu Bungeni leo ni ya uongo, yenye hila na ya kutunga. Na kwavile najua kuwa amefanya hivi makusudi, na kwa nia ovu, nimeamua kumchukulia hatua za kisheria rasmi. Na sitorudi nyuma.

From: https://www.facebook.com/gngwilimi/posts/801560213215667?fref=nf
Duuuuh ndugu sijui mwalimu wako shule alikuwa anapata shida kukufundisha hadi uelewe. Au unafanya makusudi tu ili uonekane umenijibu????????
Hujanielewa kweli hadi nilivokiquote icho kipande cha kiingeleza ulichoniletea mwenyewe na kukielezea kwa kiswahili kinamaanisha nini??????????
Alafu still unazidi kuniletea maelezo ya ngwilimi anayolalamika tu bila kusema MUHONGO aliongopea wapi.

Embu basi nipe tafsiri ya hiki kipande ulichokileta wewe mwenyewe.

  • However, the government dismissed claims that Mr Ngwilimi was sacked. According to the Energy and Minerals minister, Prof Sospeter Muhongo, the lawyer actually resigned on his own volition.“Mr Ngwilimi wasn’t sent to Malaysia by Tanesco to investigate PAP acquisition of Piper Links; in fact he lied to the power utility firm’s management that he along with other official from Attorney General office were sent by the AG to Malaysia,” said Prof Werema.

    ​

Hii nimeshakujibu kuwa haikuwa kweli ila niliweka habari nzima kama ilivyo.

However, the government dismissed claims that Mr Ngwilimi was sacked. According to the Energy and Minerals minister, Prof Sospeter Muhongo, the lawyer actually resigned on his own volition.

Mzizi wa fitina uko kwenye maneno hayo ya Blue..... Majibu yake angalia chini:

"Mr Ngwilimi wasn't sent to Malaysia by Tanesco to investigate PAP acquisition of Piper Links; in fact he lied to the power utility firm's management that he along with other official from Attorney General office were sent by the AG to Malaysia," said Prof Werema.

10313990_801561843215504_2170599742724150407_n.jpg

Eti WEREMA hakumtuma Godwin Ngwilimi na kuwa jamaa alijitungia tu uongo huu, ya kweli hayo?

Mbona sasa Werema aliweka sahihi tarehe 03 september na barua ya Tanesco imeandikwa tarehe 26 August 2014?

Kama jamaa alidanganya likuwaje Werema akaweka baraka zake? Au Muhongo ndiyo alidanganywa na Werema kuwa Godiwn alijitungia baada ya kuona kuwa ushauri wa Godwin ulikuwa wa ukweli na waliupuuza. Sasa ili kujiosha, wakaamua kutumia msemo "njia nzuri ya kujilinda ni KUSHAMBULIA....." Wakamshambulia Godwin na matusi juu. Tulishuhudia hata Kafulila akiitwa Tumbili sijui? Ila leo hii Werema NJE.
 
Muhongo akitoa shutuma kali kwa Godwin Gwilimi, Mwanasheria wa Tanesco kuwa hakutumwa na Tanesco kwenda Malaysia.

Barua kama ushahidi wa kutumwa kwake: MTWARA KUMEKUCHA: SINEMA YA ESCROW INAENDELEA...............

Sikiliza kuanzia 1:15:05

On the other hand, Mr. Mbowe said ex-Tanesco chief legal counsel Godwin Ngwilimi was sent by the government to Malaysia to conduct due diligence on PAP refuting Energy Minister Prof. Sospeter Muhongo earlier statement that Mr. Ngwilimi acted and designed on his own accord.

From:
http://www.pesatimes.co.tz/news/governance/just-in--mps-debate-on-escrow/

Kama bado kuna PIMBI haelewi basi sijui tumsaidie vipi.

Sasa hapa ndo umeleta evidence, naanza kujadili na wewe kuanzia hapa.
Nilivomuelewa mimi Muhongo kama kwenye iyo clip uliyoweka hapo ni kuwa Ngwilimi ndo aliomba kwenda kufanya due diligence na sio kwwamba Tanesco ndo walianza kumtuma kwenda kufanya due diligence. Na hapo ingethibitishwa tu pale kwenye izo attachment ulizoziweka kwenye hizo link kwa kuwepo kwa barua ya management ikimtaka ngwilimi aende Malyasia kufanya due diligence. Hiyo ndo barua ya kwanza ambayo ingethibitisha uongo wa Prof na ndo ingefuatiwa na iyo barua nyingine inayouomba ubalozi wa tanzania malyasia kumpa assistance ngwilimi. Sasa hapo naona tatizop lilikuwa kumuelewa Muhongo na sio kuwa Muhongo alidanganya au alidhamiria kudanganya.
Kwa point ya kuwa Ngwilimi alifukuzwa kazi hapo ndugu ndo umeshinndwa kabisa hata kujaribu kuthibitisha kwa sababu iyoiyo clip uliyoiweka Muhongo anataja hadi kumbukumbu ya barua kuthibitisha Ngwilimi ndo aliomba kuacha kazi na sio kwamba alifukuzwa kazi. Sasa hapo huoni kuwa haujathibitisha kuwa Ngwilimi alifukuzwa kazi???????
 
Last edited by a moderator:
Mimi ndiyo nimemaliza. JADILI mwenyewe. Sintakujibu tena. Mtu mbishi kama nini. Hata Mbuzi ukimpigia gitaa anasikiliza na tena kwa adabu kweli. Ila wewe ni kama WEREMA kabisa haki ya nani. Usiku mwema sijui mchana mwema?

a.baa-This-goat-like-his-guitar.jpg

Sasa hapa ndo umeleta evidence, naanza kujadili na wewe kuanzia hapa.
M
 
Hii nimeshakujibu kuwa haikuwa kweli ila niliweka habari nzima kama ilivyo.

Mzizi wa fitina uko kwenye maneno hayo ya Blue..... Majibu yake angalia chini:

10313990_801561843215504_2170599742724150407_n.jpg

Eti WEREMA hakumtuma Godwin Ngwilimi na kuwa jamaa alijitungia tu uongo huu, ya kweli hayo?

Mbona sasa Werema aliweka sahihi tarehe 03 september na barua ya Tanesco imeandikwa tarehe 26 August 2014?

Kama jamaa alidanganya likuwaje Werema akaweka baraka zake? Au Muhongo ndiyo alidanganywa na Werema kuwa Godiwn alijitungia baada ya kuona kuwa ushauri wa Godwin ulikuwa wa ukweli na waliupuuza. Sasa ili kujiosha, wakaamua kutumia msemo "njia nzuri ya kujilinda ni KUSHAMBULIA....." Wakamshambulia Godwin na matusi juu. Tulishuhudia hata Kafulila akiitwa Tumbili sijui? Ila leo hii Werema NJE.

Hapa ndo pengine ambapo sipaelewi mbona hizi documents unazozileta zinajichanganya mkuu??? Ile document ya kwanza inaonyesha kusainiwa na Eng. Mhaiki kwa niaba ya Tanesco alafu hii ya pili inaonesha kusaniwa na AG werema ila content ni ile ile. Serious hamna magumashi hapa???????? Alafu ya werema inaonekana ni ya september, HOW COMES ndugu???????
Hii inanipa picha fulani hapa, mlikosea kuzindaa nini???? Ebwana embu njoo haraka utuambie ni nini hiki?????
How comes inaonekana ni document mbili tofauti zinamzungumzia mtu mmoja alafu content ileile?????? Inanifanya kuanza kuamini hizi document sio halali zimetengenezwa tu.
How comes inaonekana AG na Mtendaji wa Tanesco wote waliandika barua ya kitu kimoja kwenda sehemu moja?????? Niambie tena hizi barua ni authentic kweli?????
Embu rudi mkuu unijibu hili.
 
tukiweka ushabiki pembeni, prof Muhongo is the best candidate kwenye hali ya nchi tulipo sasa. Haya mambo ya Escrow ni siasa za maji take kuna watu walishaona mbali waliona huyu bwana anakwenda kuchukua nchi na ndio maana wakajaribu kumuingaza kwenye wale waliokula pesa lakini ikashindikana. Nadhani nina uhakika anatufahaa kuwa rais wetu.
 
Ni wakat muafaka wa PR.Muhongo kupewa uwazir mkuu
 
Ni wakati muafaka kwa watanzania kuambiwa ukweli wote kuwa Prof Muhongo alitengenezewa chuki, fitna na uongo na watu wabaya ambao walimzushia hivi vitu kwa makusudi kwa sababu zao binafsi ambazo zilikuwa ni kubaniwa ulaji wa kuifisadi nchi na Prof Muhongo. Uzi huu ni muhimu sana watu waupitie wausome na waone mijadala iliyokuwa ikiendelea humu na evidence zilivokuwa zinakuwa discussed ili jamii ya watanzania wajionee wenyewe ni kwa jinsi gani mtu wao Prof Muhongo alivoundiwa zengwe la escrow na watu wake wabaya na kuhusishwa kwa uongo mkubwa na uliotukuka.

Naomba moderators msiache huu uzi uondolewe kwa sababu ni uzi muhimu sana ili jamii ya watanzania waweze kuupitia hasa hoja za ushahidi wa kupikwa dhidi ya Prof Muhongo.
 
Back
Top Bottom