Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

Nina tiba ya kumaliza umaskini - Prof. Muhongo

mimi ni mtu ninawachunguza sana hawa jamaa....

kuhusu Profesa Muhongo....moyo wangu unamtazama hivi kutokana na mambo mbalimbali

1. ni mtu ambaye hufanya kazi na takwimu......na sio porojo. so far sijaona mgombea yeyote ambaye utendaji wake na mikakati yake inazingatia takwimu kama huyu jamaa.....watanzania kwa muda mrefu tumechekwa kuwa tumekuwa interested na matokeo kama vile hospitali na barabara lakini hatujali ni kiasi gani tunaporwa....hii ndio imepelekea wao kuchukua dhahabu sie kutujengea kadispensary....

2. ni mtu ambaye hakubali kuyumbishwa hata na kundi lake ... alichokifanya kuichanachana tanesco mara baada ya kuwa waziri na kuirekebisha ni ushahidi mzuri wa hili......

3. ni mtu anayemg'ang'ania swala wake vema.....tunaweza kupima kwa kuangalia deliverables alizozitengeneza akiwa wizarani....ina maana ana uwezo wa kunganagania mafanikio ya ahadi zake...

4. ni mtu mwenye exposure ya kutosha has kwa concern ya nchi ya wakati huu..gasi na mafuta.....

5. ni kiongozi mzuri....wakati tunapima ubora wa wagombea wetu ni vema tuangalia sifa zao kwa wale wa karibu (anaowaongoza) na wale wanaopokea matokeo au wanufaika (beneficiary),,,,,,,,I swear, katikaa wagombea wote nliosikia sikia umbeya kuhusu wao so far Muhungo amependwa na watumishi woooote waliokuwa chini yake wizarani.....lakini pia amependwa na wananchi aliowatumikia kwa kuweza kuwapatia deliverables wanazozihitaji....................

6. najua wapo wataozungumzia arrogance....shida kidogo ni usmart wa kisiasa...ambalo linaweza kurekebishika.......lakini pia ni ushahidi kuwa uwongo uwongo yeye hapana........

7. anatoka kabila dogo?????

8. naamini kabisa huyu ni Mkapa mwingine.........mtu ninayemkubali sana so far....

naomba kuwakilisha
Chukua like trilion 1 Mkuu. Umemaliza yote. Na hivi ndo alivosema J F kennedy kuwa usiseme Marekani imekufanyia nini bali jiulize nitaifanyia nini Marekani.
Ndugu yangu huu mchango wako ni mkubwa sana na utawasaidia watu wengi sana humu kumuelewa Prof Muhongo na hata baadae kuleta influence ya yeye kuchaguliwa kuliongoza taifa. Napenda kusema kwa mchango huu hakika umelifanyia kitu taifa lako hasa kifikra.
 
Sishabikii kokote lakini kwa utendaji wake wa kazi wizarani alikuwa vizuri na anaweza kutuvusha, ana uwezo.
 
Huyu hana sifa ya kuwa kiongozi wa nchi aende akafundishe. Muhongo ni janga la kitaifa
 
Kwa mara ya kwanza nitapiga kura kama ccm iramsimamisha Muhongo
 
Ngoja na mie nitie neno, jamaa yupo good wakati yupo pale wizarani alikuwa akipishana na engineers kwenye corridor, anakusimamisha ili mfahamiane.
Atakuuliza jina lako na section unayotokea, then una mda gani tokea umeajiriwa, ukimwambia una miaka zaidi ya mitatu na bado una shahada moja tu, anashangaa sana basi atakwambia apply chuo chochote duniani ukipata admission tu then njoo offisini wizara itakupa scholarship.

Anakwambia technologies hubadilika kila siku, hivyo wasomi wetu lazima wajiendeleze kielimu kila kukicha ile taifa liweze kusonga mbele otherwise tutakuwa tunaibiwa kila siku kama taifa sababu tuna wasomi mbumbumbu.
Kwa ujumla jamaa ni mchapakazi na automatic ukiwa subordinate wake lazima u-deliver mzee.
 
Ila tukifuata akili za upinzani kama za chadema maendeleo tutayasikia tu
 
Akiwa raisi hataweza bora awe waziri mkuu tu
 
Ngoja na mie nitie neno, jamaa yupo good wakati yupo pale wizarani alikuwa akipishana na engineers kwenye corridor, anakusimamisha ili mfahamiane.
Atakuuliza jina lako na section unayotokea, then una mda gani tokea umeajiriwa, ukimwambia una miaka zaidi ya mitatu na bado una shahada moja tu, anashangaa sana basi atakwambia apply chuo chochote duniani ukipata admission tu then njoo offisini wizara itakupa scholarship.
Anakwambia technologies hubadilika kila siku, hivyo wasomi wetu lazima wajiendeleze kielimu kila kukicha ile taifa liweze kusonga mbele otherwise tutakuwa tunaibiwa kila siku kama taifa sababu tuna wasomi mbumbumbu.
Kwa ujumla jamaa ni mchapakazi na automatic ukiwa subordinate wake lazima u-deliver mzee.
Hapo umesema kweli Mzee, Prof. Muhongo yupo vizuri sana kwa uchapakazi.
 
JK hana majisifu wala majigambo ila check alipotufikisha Leo ni maumivu hivyo hiyo hoja ni nyepesi sana, sasa HV tunaitaji kiongozi mtendaji na mwenye uwezo wa kushusha orders kwa walio chini yake na wakatii kweli kwa wakati, tukitaka wanasiasa wenye maneno matamu mdomoni tunaenda rudi kule kule. Professor is da right candidate kwangu.
 
Iv hawa Viongozi N nn??..Mbona tunapigwa changa la Macho!!! Et nitainua uchumi wa Nchi mara nina tiba ya Umaskini Blah blah Buku kidogo..Kwan si walikua na Bado wapo serikalin??...Kwa nini wasinge fanya ayo kabla Wanaboa mno yan Cheo kidogo kimekushinda Iyo Taasisi Utaiweza???...Sasa Siasa sishabikii na kura yangu Simpi mtu..Mxiiiiiiiiiiiiiiuuu...
 
Back
Top Bottom