mie ni kijana ambae nina miaka 26 sijaoa ila nina mpenzi ambae tupo mda mrefu,na kwa bahati mbaya au nzuri
mie nakua nae mbali kwa mda mwingi saana yaani mi nipo zanzibar yeye yupo dar,nashukuru tunaishi vizuri na sijaona kasoro za kua mbali kwetu
tatizo niliokua nalo ni kwamba mimi napenda sana kupiga punyeto,najitahidi kila njia ili niache,mchana nitafanya mazoezi,kusoma vitabu,au kuperuzi internet hapa na pale ila ikifika mda wa kuenda bafuni hapo kazi ndipo
itapoanzia au kama nikisalimika bafuni basi hata kitandani nitaimalizia
so naomba msaada wenu hii inatokana na nini na vipi nitaacha kabisa maana kila nikijaribu nahisi nashindwa