Pole sana ndugu yangu,Mungu akujalie ulejee katika khali yako ya afya njemaBado nakaribisha mawazo ndg zangu hata kama kunaushauri ili nipone maana binadamu tunapitia changamoto nyingi katika maisha na shida huwa zinafanana.karibuni
Angalia usitapeliwe.Asante ndg.
Pole sana mkuu,endelea kupata maelekezo ya matibabu yako bila ya kusahau maombi,kwani hakuna jambo ambalo Mungu haliwezi...Habari wapendwa,
Nasumbuliwa na maumivu ya kiuno na mgongo nilipima Dtk. kaniambiwa pingili za uti wa mgongo zimebanana chaajabu nimeanza kutibiwa tangu January hadi Leo nakunywa dawa kila siku bado maumivu yapo hasa wakati wa kukaa pingili ya chini kwenye mkia makalioni.
Tafadhali kama kuna mtu aliwahi pitia hii shida naomba msaada wa matibabu au kama kuna dawa nzuri nikanunue maana nahudhuria klinik kila mwezi hadi kuna mda nakata tamaa.
Msaada tafadhali
Unaendeleaje?Hellow dear...Ndo ww uliyenipa zile namba eh...?
Baba yangu alikuwa na tatizo kama lako alitibiwa KWA DR. BAKE pale Kwa MatiasHabari wapendwa,