Nina tatizo la pingili za uti wa mgongo kubanana. Naomba kujua tiba

Mkuu kuna tiba ya Thermotherapy unaijua??

aisee ndo mpango mzima mfano kuna vitanda vinaitwa Ceragem massage bed ivi vitanda vinatibu UTI wa mgongo kwa njia ya mionzi japo mionzi sio ile mibaya hii mionzi ni kama ya jua..

Aidha tofauti na vitanda ivyo ambavyo nakushauri utafte kituo kinachotoa huduma iyo kwa namna yoyote ile Lakini pia kuna Ceratonic Mat,Chair,Belt ivi vyote vinasaidia sana Mkuu

Sijui kwa mkoa wako vinapatikana wapi ila mara nyingi ni kwenye hospitali au vituo vya Wakorea,waChina na wahindi nawasilisha
View attachment 1718104
 
Nina tatizo Kama hilo Ila Mimi sikuwahi Pima nikiuno kilikuwa kinasumbua na performance kwa bed ilianza kupungua, nikaelekezwa kwa mtaalamu wa dawa asili ambaye alinifanyua massage ya mgongo baada ya kumaliza akaniambia pingili mbili zilianza kuchomoka na akazirudisha akanipa na majani kwa ajili ya kukanda na nilipona.

Aidha kabla ya hapo niliona dalili ambazo nilienda hospital wakanipa madawa bila mafanikio yoyote. Mtaalamu huyo nilimlipa sh. 10,000 tu Ila baada ya wiki mbili nilirudi Tena kwa ajili ya check up nilimlipa Tena sh. 10,000 yupo Korogwe eneo la msambiazi.
Mkuu samahan naweza kupata mawasiliano ya huyo aliekutibia mama ana shida hiyo nae
 
Nilimpoteza mtu wa muhimu sana kwa tatizo hili yeye aliambiwa pingili za uti wa mgongo zimeachana alifanyiwa operation mara mbili. Kwa Mungu hakuna linaloshindikana piga goti muombe yeye atakuponya
 
Back
Top Bottom